Loading...

NGORONGORO WAZINDUA KAMPENI YA KUPINGA UKEKETAJI

Loading...
NGORONGORO WAZINDUA KAMPENI YA KUPINGA UKEKETAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NGORONGORO WAZINDUA KAMPENI YA KUPINGA UKEKETAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NGORONGORO WAZINDUA KAMPENI YA KUPINGA UKEKETAJI
link : NGORONGORO WAZINDUA KAMPENI YA KUPINGA UKEKETAJI

soma pia


NGORONGORO WAZINDUA KAMPENI YA KUPINGA UKEKETAJI

Wanaharakati wa kupinga ukeketaji wakisikiliza kwa makini mafunzo kabla ya kuanza kampeni ya mwezi mmoja ya kupinga ukeketaji wilayani Ngorongoro. Mafunzo hayo yaliratibiwa na Shrika la UNESCO. Kampeni hiyo inafanywa kwa ushirikiano wa UNESCO, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro na Baraza la Wazee wa Mila wa Kimaasai (Laigwanan). Kampeni hiyo imeanza Tarehe 5/12/2017 na itaendelea kwa mwezi mzima. Afisa wa UNESCO anayewakilisha miradi ya Ololoswakan Wilayani Ngorongoro Bwana Hamidun Kweka akiwafundisha wanafunzi wa Shule ya Msingi Oloirien wilayani Ngorongoro madhara ya ukeketaji katika uzinduzi wa kampeni ya kupinga ukeketaji wilayani humo. Kampeni hizo zilizinduliwa rasmi Tarehe 5 na zitadumu kwa mwezi mmoja. Ngariba mstaafu akiimba na watoto nyimbo za kupinga ukeketaji baada ya mafunzo ya kuwaelimisha madhara ya ukeketaji katika shule ya msingi Oloirine wilayani Ngorongoro mnamo Tarehe 7, 2017. Wafanyakazi wa UNESCO na Walimu wa Shule ya Msingi Oloirien wakiwa pamoja baada ya uzinduzi wa Kampeni ya Kupinga Ukeketaji wilayani Ngorongoro.


Hivyo makala NGORONGORO WAZINDUA KAMPENI YA KUPINGA UKEKETAJI

yaani makala yote NGORONGORO WAZINDUA KAMPENI YA KUPINGA UKEKETAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NGORONGORO WAZINDUA KAMPENI YA KUPINGA UKEKETAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/ngorongoro-wazindua-kampeni-ya-kupinga_16.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NGORONGORO WAZINDUA KAMPENI YA KUPINGA UKEKETAJI"

Post a Comment

Loading...