Loading...
title : NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA DAR
link : NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA DAR
NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA DAR
Afisa Masoko wa Nssf Riziki Kibwasali (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa Nssf Riziki Kibwasali (kushoto),akiwaonyesha fomu baadhi ya wateja waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko wa NSSF, Salama Mbarak (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam.
Afisa Masoko na UhusianoNSSF, Aisha Sango (kulia), akizungumza na baadhi ya wateja waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja wakiuliza maswali iliwaweze kupata kadi ya bima ya matibabu walipotembelea banda la Nssf wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wateja wakijaza fomu kwa ajili ya kupata kadi ya bima ya matibabu walipotembelea banda la Nssf wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA DAR
yaani makala yote NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/nssf-yashiriki-maonyesho-ya-viwanda-dar.html
0 Response to "NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA DAR"
Post a Comment