Loading...
title : ONE STOP CENTRE YAWATAKA WADAU KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WATOTO
link : ONE STOP CENTRE YAWATAKA WADAU KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WATOTO
ONE STOP CENTRE YAWATAKA WADAU KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WATOTO
Mkurugenzi wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake Edina Sanga (wa pili kushoto) akiwa na Afisa Polisi Kutoka dawati la Jinsia Christina Onyango na wadau mbalimbali wa masuala ya ukatili wa kijinsia.
Katika kusaidia kupinga ukatili wa kijinsia, kituo cha usuluhishi( Crisis Resolving Centre- CRC) kimejizatiti katika kutetea haki za binadamu kwa kulinda haki na ustawi wa watoto na wanawake.
Kituo hicho kilichoanzishwa 2007 kikiwa na mlengo wa utoaji huduma ya msaada wa kisheria na ushauri nasaha kwa jamii.
Akizungumzia kazi zinazofanywa na CRC, Mratibu wa Kituo cha Usuluhishi CRC Gladness Munuo amesema kuwa mnano Novemba 14 hafi 16 kimeweza kutoa ya huduma ya pamoja kwa wahanga wa wa ukatili wa kijinsia ijulikanayo kama One Stop Centre ikiwa inawalenga wakina mama na watoto ambao ndio waathirika wakubwa wa ukatili wa kijinsia.
Gladness amesema katika huduma ya pamoja na One Stop Centre waliweza kutoa huduma kwa wateja 25 waliotembelea kituo kwa kuhitaji msaada wakisheria na ushauri nasaha ambapo wanawake walikuwa 22, wanaume 2 na mtoto mmoja.
Katika kesi hizo kesi mbili ziliweza kuhamishwa kutoka kituoni ambazo ni mgogoro wa ardhi na nyingine ilihusu kesi ya mauaji ambapo iliwezw kuhamishiwa polisi.
Ameelezea kuwa, katika usulihishi wa kifamilia uliweza kufanyika kwa wateja wanne na mashauri mawili ndio yaliyofanikiwa na nyingine ilikuwa ni matunzo ya mtoto.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala ONE STOP CENTRE YAWATAKA WADAU KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WATOTO
yaani makala yote ONE STOP CENTRE YAWATAKA WADAU KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WATOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ONE STOP CENTRE YAWATAKA WADAU KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WATOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/one-stop-centre-yawataka-wadau.html
0 Response to "ONE STOP CENTRE YAWATAKA WADAU KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WATOTO"
Post a Comment