Loading...
title : SHIRIKA LA POSTA NCHINI LAZINDUA NEMBO MPYA YA SHIRIKA HILO YENYE KAULI MBIU YA TWENZETU
link : SHIRIKA LA POSTA NCHINI LAZINDUA NEMBO MPYA YA SHIRIKA HILO YENYE KAULI MBIU YA TWENZETU
SHIRIKA LA POSTA NCHINI LAZINDUA NEMBO MPYA YA SHIRIKA HILO YENYE KAULI MBIU YA TWENZETU
Naibu Waziri Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa akizindua nembo mpya ya Shirika la Posta nchini ambayo imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam katika Kuboresha huduma za shirika hilo kuwa la kisasa.
Naibu Waziri Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa, akimpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta nchini, Dr Haroun Kondo mara baada ya kuzindua nembo mpya ya shirika hilo jijini Dar es Salaam leo
Naibu Waziri Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa akishuka katika mabasi mapya ya Shirika la Posta nchini mara baada ya kuzindua huduma ya mabasi ya shirika hilo ambayo yatakuwa yanabeba abiria na vifurushi
Naibu Waziri Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa, akizungumza mara baada ya kuzindua Nembo mpya ya Shirika la Posta nchini
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta nchini, Dr Haroun Kondo akizungumza kabla yakumkaribisha mgeni rasmi kuzindua nembo mpya ya shirika la Posta nchini.
Hivyo makala SHIRIKA LA POSTA NCHINI LAZINDUA NEMBO MPYA YA SHIRIKA HILO YENYE KAULI MBIU YA TWENZETU
yaani makala yote SHIRIKA LA POSTA NCHINI LAZINDUA NEMBO MPYA YA SHIRIKA HILO YENYE KAULI MBIU YA TWENZETU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA POSTA NCHINI LAZINDUA NEMBO MPYA YA SHIRIKA HILO YENYE KAULI MBIU YA TWENZETU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/shirika-la-posta-nchini-lazindua-nembo.html
0 Response to "SHIRIKA LA POSTA NCHINI LAZINDUA NEMBO MPYA YA SHIRIKA HILO YENYE KAULI MBIU YA TWENZETU"
Post a Comment