Loading...

skari mwingine wa JWTZ afariki dunia

Loading...
skari mwingine wa JWTZ afariki dunia - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa skari mwingine wa JWTZ afariki dunia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : skari mwingine wa JWTZ afariki dunia
link : skari mwingine wa JWTZ afariki dunia

soma pia


skari mwingine wa JWTZ afariki dunia



Picha: Na maktaba.
ASKARI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) aliyekuwa katika Kikosi cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amefariki dunia nchini Uganda wakati akipatiwa matibabu.

Askari huyo ni miongoni mwa askari 44 wa Tanzania waliojeruhiwa katika shambulio lililofanywa Desemba 7 mwaka huu na waasi wa The Allied Democratic Forces (ADF) katika kambi ya walinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa (MONUSCO), na kusababisha vifo vya wanajeshi 14 wa Tanzania na watano wa DRC.

Msemaji wa Katibu wa Umoja wa Mataifa, Stephane Dujarric, alitangaza taarifa hiyo ya kusikitisha katika Makao Makuu wa UN, Mjini New York jana Desemba 22, 2017 usiku.

Katika taarifa iliyotolewa na MONUSCO leo, imeeleza kwamba mwanajeshi wa 15 wa Tanzania amefariki dunia akipatiwa matibabu mjini Kampala.

Umoja wa Mataifa umetuma salamu za pole kwa wanajeshi, familia, ndugu, jamaa na marafiki pamoja na serikali ya Tanzania kutokana na msiba huo.


Hivyo makala skari mwingine wa JWTZ afariki dunia

yaani makala yote skari mwingine wa JWTZ afariki dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala skari mwingine wa JWTZ afariki dunia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/skari-mwingine-wa-jwtz-afariki-dunia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "skari mwingine wa JWTZ afariki dunia"

Post a Comment

Loading...