Loading...

EFM REDIO YASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMASI NA WASIKILIZAJI WAKE

Loading...
EFM REDIO YASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMASI NA WASIKILIZAJI WAKE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa EFM REDIO YASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMASI NA WASIKILIZAJI WAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : EFM REDIO YASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMASI NA WASIKILIZAJI WAKE
link : EFM REDIO YASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMASI NA WASIKILIZAJI WAKE

soma pia


EFM REDIO YASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMASI NA WASIKILIZAJI WAKE

 Katika kusheherekea sikukuu ya Krismasi EFM redio imetoa zawadi ya kapu la siku kuu kwa wasikilizaji wake lililosheheni mazagazaga ya chakula pamoja na king’amuzi cha DSTV katika mikoa ya Dar es salaam , Pwani, Mwanza,  Mbeya, Mtwara, na Tanga ikiwaa ni ishara ya kuwajali na kuwathamini katika kipindi hiki cha sikukuu.
 Jumla ya makapu yaliotolewa ni 25 kwa mikoa yote ambapo washindi wa kapu hilo walipatikana kupitia maswali yaliokua yakiulizwa katika vipindi tofauti vya redio hiyo pendwa.
 Washindi wa kapu la sikukuu wakiwa katika picha ya pamoja na zawadi zao ambazo ni kapu lenye kila aina ya chakula ndani pamoja na king’amuzi cha DSTV
 Kulia ni Mkuu wa mawasiliano DSTV Tanzania Bw. Johnson Mshana akielezea jambo kwa mshindi alipokua akikabidhi zawadi
 Meneja matukio wa EFM redio  Bi. Jesca Mwanyika (kushoto) pamoja na mkuu wa mawasiliano DSTV Bw. Johnson Mshana (kulia) wakikabidhi zawadi kwa mshindi wa kapu.
 Mshindi wa kapu la sikukuu kutoka 88.9 Tanga akiwa na kapu lake kutoka Efm redio
Washindi wa kapu kutoka 91.3 Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja na muwakilishi kutoka Efm redio Emanuel Meshack (wa kwanza kushoto)



Hivyo makala EFM REDIO YASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMASI NA WASIKILIZAJI WAKE

yaani makala yote EFM REDIO YASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMASI NA WASIKILIZAJI WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala EFM REDIO YASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMASI NA WASIKILIZAJI WAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/efm-redio-yasheherekea-sikukuu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "EFM REDIO YASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMASI NA WASIKILIZAJI WAKE"

Post a Comment

Loading...