Loading...

SPIKA JOB NDUGAI MGENI AFUNGUA MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Loading...
SPIKA JOB NDUGAI MGENI AFUNGUA MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA JOB NDUGAI MGENI AFUNGUA MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA JOB NDUGAI MGENI AFUNGUA MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
link : SPIKA JOB NDUGAI MGENI AFUNGUA MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

soma pia


SPIKA JOB NDUGAI MGENI AFUNGUA MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

 Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifanya usajili wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
 Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakiteta jambo wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam. Wakiongozwa na Mhe. Ritta kabati (kulia)
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akimsikiliza aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Ndg. Rwigema Celestin (katikati) wakielekea kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson na wa pili kushoto ni katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Ndg. Edwin Rutageruka
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (aliesimama) akiwatambulisha  Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
 Mgeni Rasmi Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Ndg. Benard Konga (kulia) wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam. NHIF ni watoaji huduma ya afya kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Wageni Mbali mbali kutoka nchi za Afrika Mashariki wakifuatilia ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
 Wageni Mbali mbali kutoka nchi za Afrika Mashariki wakifuatilia ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
Spika waBunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi Mbali mbali kutoka Afrika ya Mashariki wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam. watatu kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na kushoto ni Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai


Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI MGENI AFUNGUA MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI MGENI AFUNGUA MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI MGENI AFUNGUA MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/spika-job-ndugai-mgeni-afungua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI MGENI AFUNGUA MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI"

Post a Comment

Loading...