Loading...
title : WATEULIWA WAPYA KUAPISHWA KESHO JUMATANO IKULU, DAR ES SALAAM
link : WATEULIWA WAPYA KUAPISHWA KESHO JUMATANO IKULU, DAR ES SALAAM
WATEULIWA WAPYA KUAPISHWA KESHO JUMATANO IKULU, DAR ES SALAAM
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425 |
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ikulu, Dar es Salaam.
Wakuu wa Mikoa wanne, Makatibu Wakuu wawili, Naibu Makatibu Wakuu wawili na Makatibu Tawala wa Mikoa 13 walioteliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli siku ya Jumamosi tarehe 28 Julai, 2018 wataapishwa siku ya Jumatano tarehe 01 Agosti, 2018 saa 4:00 asubuhi, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Wakuu wa Mikoa yote ya Tanzania Bara mnapaswa kuhudhuria tukio hili.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
30 Julai, 2018
Hivyo makala WATEULIWA WAPYA KUAPISHWA KESHO JUMATANO IKULU, DAR ES SALAAM
yaani makala yote WATEULIWA WAPYA KUAPISHWA KESHO JUMATANO IKULU, DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATEULIWA WAPYA KUAPISHWA KESHO JUMATANO IKULU, DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/wateuliwa-wapya-kuapishwa-kesho.html
0 Response to "WATEULIWA WAPYA KUAPISHWA KESHO JUMATANO IKULU, DAR ES SALAAM"
Post a Comment