TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASAlink :
TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
===== ===== ===
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuwatangazia Vyama vya Siasa na umma kwa ujumla kuwa kikao na Semina ya Baraza la vyama vya Siasa vilivyokuwa vifanyike siku ya tarehe 21 na 22 Desemba 2017, Jijini Dar es salaam vimeahirishwa hadi hapo tarehe nyingine itakapopangwa.
Kikao hicho kimehirishwa kwa ajili ya kutoa fursa kwa Vyama vya Siasa na wadau wa Vyama vya Siasa kushiriki katika shughuli za uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika 13 January 2018. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza kutokana na mabadiliko hayo.
Jacqueline Kilama
Kny. MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA
19 Disemba, 2017
Hivyo makala TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
yaani makala yote TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/taarifa-kwa-ya-kuahirisha-kikao-cha.html
Related Posts :
SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
Uongozi na watumishi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ( Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto… Read More...
Katibu Mkuu Wizata ya UJenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe Mustafa Jumbe Atembelea Barabara Zilizoharibika Kisiwani Pemba.
MENEJA wa kamapuni ya Kizalendo ya Tanzania MECCO Nassor Ramadhan, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa barab… Read More...
BARAZA LA NNE LA WAFANYAKAZI MOI LAFUNGULIWA, WAJIVUNIA UBORA
Katibu mpya wa Baraza la Wafanyakazi wa MOI, Bwana Ngina Mitti akibadilishana nyaraka na kupngezwa na aliyekuwa Katibu wa Baraza hil… Read More...
Balozi Seif Aweka Jiwe la Msingi Skuli ya Biashara Mpendae.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Biashara Mpendae il… Read More...
MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI ATAKIWA KUUMALIZA KWA WAKATI
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani[CCM akizungumza katika mkutano wa hadhara e… Read More...
0 Response to "TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA"
Post a Comment