Loading...

WADAU WA TAKWIMU WAKUTANA KUJADILI NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU NA MPANGO WA PILI WA MAENDELEO WA TAIFA

Loading...
WADAU WA TAKWIMU WAKUTANA KUJADILI NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU NA MPANGO WA PILI WA MAENDELEO WA TAIFA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WADAU WA TAKWIMU WAKUTANA KUJADILI NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU NA MPANGO WA PILI WA MAENDELEO WA TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WADAU WA TAKWIMU WAKUTANA KUJADILI NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU NA MPANGO WA PILI WA MAENDELEO WA TAIFA
link : WADAU WA TAKWIMU WAKUTANA KUJADILI NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU NA MPANGO WA PILI WA MAENDELEO WA TAIFA

soma pia


WADAU WA TAKWIMU WAKUTANA KUJADILI NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU NA MPANGO WA PILI WA MAENDELEO WA TAIFA

Na Emmanuel Ghula
WADAU wa Takwimu nchini wamekutana ili kujadili upatikanaji wa Takwimu za msingi na uzalishaji wa takwimu na mapungufu yaliyopo katika kupima na kufuatilia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Kitaifa, Kikanda na Kimataifa.

Akizungumza wakati akifungua warsha ya siku mbili ya wadau hao, Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango, Wizara ya Fedha na Mipango Mhandisi Happiness Mgalula amesema Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Maendeleo pamoja na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)  wameandaa warsha hiyo ili kujadili namna bora ya upatikanaji wa takwimu zitakazosaidia kufanikisha utekelezaji wa mipango ya maendeleo.

“Leo tumekutana hapa kwa pamoja ili kujadili namna bora ya upatikanaji wa takwimu kwa ajili ya kupima na kutathmini utekelezaji wa viashiria vya Malengo ya Maendeleo Endelevu na Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa katika sekta ya Ukuaji Uchumi, Ajira na Ushindani wa Kiuchumi,” amesema Mhandisi Mgalula.
 Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango, Wizara ya Fedha na Mipango Mhandisi Happiness Mgalula akizungumza wakati akifungua warsha ya siku mbili ya wadau wa takwimu waliokutana kuanzia leo jijini Dr es Salaam katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere.
 Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Irenius Ruyobya akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari wakati wa hafla ya ufunguzi wa warsha ya siku mbili ya wadau wa takwimu waliokutana leo jijini Dr es Salaam katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere.
Baadhi ya wadau wa takwimu waliokutana leo jijini Dar es Salaam katika warsha ya siku mbili ili kujadili namna bora ya upatikanaji wa takwimu kwa ajili ya kupima na kutathmini utekelezaji wa viashiria vya Malengo ya Maendeleo Endelevu na Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WADAU WA TAKWIMU WAKUTANA KUJADILI NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU NA MPANGO WA PILI WA MAENDELEO WA TAIFA

yaani makala yote WADAU WA TAKWIMU WAKUTANA KUJADILI NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU NA MPANGO WA PILI WA MAENDELEO WA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WA TAKWIMU WAKUTANA KUJADILI NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU NA MPANGO WA PILI WA MAENDELEO WA TAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/wadau-wa-takwimu-wakutana-kujadili-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WADAU WA TAKWIMU WAKUTANA KUJADILI NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU NA MPANGO WA PILI WA MAENDELEO WA TAIFA"

Post a Comment

Loading...