Loading...
title : WADAU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAIDIA KITUO CHA ELIMU YA WATU WAZIMA KIGAMBONI
link : WADAU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAIDIA KITUO CHA ELIMU YA WATU WAZIMA KIGAMBONI
WADAU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAIDIA KITUO CHA ELIMU YA WATU WAZIMA KIGAMBONI
Mratibu wa Elimu Kata ya Kigamboni Angelina Gaswaswa akipokea maelezo kutoka kwa Mmoja wa waratibu wa kituo cha kutoa elimu ya watu wazima Mastidia Mbeo.Mratibu huyo wa Elimu amewaomba Wadau kujitokeza kwa kila hali kusaidia kituo hicho cha Elimu ya Watu wazima kilichopo Wilaya ya Kigamboni,jijini Dar.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kigamboni, Abdul Habibu akizungumza wakati alipotembelea kituo hicho cha kutoa elimu ya Watu wazima cha Kigamboni
Wanafunzi wanaopatiwa elimu ya Watu wazima wakiimba wimbo mbele ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kigamboni akiwa katika picha ya Pamoja na Wanafunzi wa Shule ya elimu ya watu wazima ya Kata ya Kigamboni
Hivyo makala WADAU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAIDIA KITUO CHA ELIMU YA WATU WAZIMA KIGAMBONI
yaani makala yote WADAU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAIDIA KITUO CHA ELIMU YA WATU WAZIMA KIGAMBONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WADAU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAIDIA KITUO CHA ELIMU YA WATU WAZIMA KIGAMBONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/wadau-watakiwa-kujitokeza-kusaidia.html
0 Response to "WADAU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAIDIA KITUO CHA ELIMU YA WATU WAZIMA KIGAMBONI"
Post a Comment