Loading...
title : CUF YAPATAPIGO, MBUNGE WAKE JIMBO LA KINONDON , AJIUZULU
link : CUF YAPATAPIGO, MBUNGE WAKE JIMBO LA KINONDON , AJIUZULU
CUF YAPATAPIGO, MBUNGE WAKE JIMBO LA KINONDON , AJIUZULU
Mbunge wa Jimbo la Kindondoni kwa tiketi ya chama cha CUF , Maulid Said Abdallah Mtulia amejiuzulu uanachama wa chama cha CUF na nafasi zote za uongozi alizokuwa nazo
Mtulia anasema sababu kubwa ya yeye kuamua kujiuzulu nafasi ni kwakuwa ameamua kuungana na Rais Magufuli baada ya kuona kwamba anafanya na kutekeleza mambo mengi ambayo upinzani uliahidi kufanya...
Soma barua yake hapo chini kwa undani zaidi
Hivyo makala CUF YAPATAPIGO, MBUNGE WAKE JIMBO LA KINONDON , AJIUZULU
yaani makala yote CUF YAPATAPIGO, MBUNGE WAKE JIMBO LA KINONDON , AJIUZULU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CUF YAPATAPIGO, MBUNGE WAKE JIMBO LA KINONDON , AJIUZULU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/cuf-yapatapigo-mbunge-wake-jimbo-la.html
0 Response to "CUF YAPATAPIGO, MBUNGE WAKE JIMBO LA KINONDON , AJIUZULU"
Post a Comment