Loading...
title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA TISA WA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA - MJINI DODOMA
link : WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA TISA WA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA - MJINI DODOMA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA TISA WA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA - MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Phillip Mangula wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma Desemba 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma Desemba 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma Desemba 12, 2017. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA TISA WA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA - MJINI DODOMA
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA TISA WA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA - MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA TISA WA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA - MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/12/waziri-mkuu-majaliwa-ahudhuria-mkutano.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA TISA WA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA - MJINI DODOMA"
Post a Comment