Loading...
title : Ajali Mbaya ya Gari leo
link : Ajali Mbaya ya Gari leo
Ajali Mbaya ya Gari leo
Gari aina ya Convoy ya njia ya Makunduchi ilyogongana na gari aina Dyna ya Jambiani ikiondolewa eneo la ajali iliyotokea mchana wa leo Kikungwi Wilaya ya Kati
Gari za abiria za Dyna ya Jambiani na Conoy ya Makunduchi zilipogongana uso kwa uso huko Kikungwi inasemekana Gari ya Convoy ilipasuka mpira wa mbele ikiwa katika mwendo wa kasi na kuielekea na kuigonga gari ya Dyna iliyokuwa ikitokea upande mwengine wa njia
Baadhi ya majeruhi wakisubiri kupatiwa huduma baada ya kutokea ajali mbaya ya Gari hapo Kikubgwi mchana wa leo
Askari wa Usalama Barabarani akiwa kwenye tukio la ajali kuongoza magarai na kuhakikisha usalama wa watu na magari baada ya kutokea ajali mbaya ya gari huko Kikungwi leo mchana
Hivyo makala Ajali Mbaya ya Gari leo
yaani makala yote Ajali Mbaya ya Gari leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ajali Mbaya ya Gari leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/ajali-mbaya-ya-gari-leo.html
0 Response to "Ajali Mbaya ya Gari leo"
Post a Comment