Loading...

Siasa : Kheri Awasili rasmi Ofisini

Loading...
Siasa : Kheri Awasili rasmi Ofisini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Siasa : Kheri Awasili rasmi Ofisini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Siasa : Kheri Awasili rasmi Ofisini
link : Siasa : Kheri Awasili rasmi Ofisini

soma pia


Siasa : Kheri Awasili rasmi Ofisini





Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kheri D James akisalimiana na Mtumishi wa Makao Makuu ya Umoja wa Vijana wa CCM Bi.Sheila Alipowasili katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Umoja wa Vijana Wa CCM Upanga Leo.




Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana(UVCCM) Taifa Ndg.Shaka Hamdu Shaka (kwanza kushoto)akimtambulisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Kheri D James kwa Makatibu wasaidizi wakuu alipowasili ofisi ndogo za UVCCM Upanga leo.



Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Ndg.Shaka Hamdu Shaka akimuonyesha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Kheri D James moja ya Ofisi ya Makao makuu.





Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Kheri D James akisaini kitabu Rasmi Kuingia Ofisini Leo Makao makuu ya Umoja wa Vijana wa CCM Upanga.




Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Bi Thabia Mwita akisaini kitabu,.



Viongozi wakuu wakiwa katika Ofisi ya Mwenyekiti Wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi.





Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Ndg. Kheri D James akizungumza na Watumishi wa Makao Makuu ya UVCCM Upanga leo.(PICHA NA FAHADI SIRAJI)


Hivyo makala Siasa : Kheri Awasili rasmi Ofisini

yaani makala yote Siasa : Kheri Awasili rasmi Ofisini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Siasa : Kheri Awasili rasmi Ofisini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/siasa-kheri-awasili-rasmi-ofisini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Siasa : Kheri Awasili rasmi Ofisini"

Post a Comment

Loading...