Loading...
title : ALIYEKUWA MPIGAPICHA TSN, ATHUMAN HAMISI MSINGI KUZIKWA KESHO
link : ALIYEKUWA MPIGAPICHA TSN, ATHUMAN HAMISI MSINGI KUZIKWA KESHO
ALIYEKUWA MPIGAPICHA TSN, ATHUMAN HAMISI MSINGI KUZIKWA KESHO
Mwili wa Mpendwa wetu Athumani Hamisi Msengi unatarajia kuzikwa hapo kesho Januari 5, 2018 baada ya Swala ya Ijumaa na Maziko yatafanyika katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mipango ya Mazishi inafanyika Nyumbani kwa Marehemu Sinza Madukani Mtaa wa Weruweru (Njia ya Namnani Hotel Nyumba na 26).
Marehemu Athumani Hamisi amefariki asubuhi ya leo Januari 4,2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikofikishwa kwa matibabu baada ya kuzidiwa ghafla usiku akiwa nyumbani kwake.
TUNATOA POLE KWA WOTE MLIOFIKWA NA MSIBA HUU.

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa mpigapicha wa magazeti Habari Leo, marehemu Athumani Hamisi nyumbani kwake Sinza jijini.
Baadhi ya ndugu wakiwa msibani.
Waombolezaji.
Hivyo makala ALIYEKUWA MPIGAPICHA TSN, ATHUMAN HAMISI MSINGI KUZIKWA KESHO
yaani makala yote ALIYEKUWA MPIGAPICHA TSN, ATHUMAN HAMISI MSINGI KUZIKWA KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ALIYEKUWA MPIGAPICHA TSN, ATHUMAN HAMISI MSINGI KUZIKWA KESHO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/aliyekuwa-mpigapicha-tsn-athuman-hamisi.html
0 Response to "ALIYEKUWA MPIGAPICHA TSN, ATHUMAN HAMISI MSINGI KUZIKWA KESHO"
Post a Comment