Loading...
title : KAMATI YA MASHINDANO TFF YAIPA USHIND PRISONS NA JKT RUVU KOMBE LA FA
link : KAMATI YA MASHINDANO TFF YAIPA USHIND PRISONS NA JKT RUVU KOMBE LA FA
KAMATI YA MASHINDANO TFF YAIPA USHIND PRISONS NA JKT RUVU KOMBE LA FA
Kikao cha kamati ya Mashindano kilichokutana Desemba 29, 2017 kwenye makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kujadili mchezo namba 31 na 32 uliohusisha timu za Abajalo FC dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya na ule kati ya Mvuvumwa na JKT Ruvu katika Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) iliyokuwa ifanyike Desemba 20, 2017 kwenye Uwanja wa Uhuru na Chamazi.
Kamati ilikaa na kupitia taarifa mbalimbali za michezo hiyo.
Kamati kupitia kanuni ya 24 kifungu cha (1) katika mchezo kati ya Abajalo FC na Tanzania Prisons imeipa ushindi timu ya Tanzania Prisons baada ya kubaini Abajalo kukiuka kanuni hiyo.
Kwenye mchezo mwingine kati ya Mvuvumwa na JKT Ruvu Kamati baada ya kupitia na kujiridhisha imeipa ushindi timu ya JKT Ruvu baada ya Mvuvumwa pia kukiuka kanuni ya 24 kifungu (1).
Kwa maamuzi hayo timu za Tanzania Prisons na JKT Ruvu zinafuzu kwenda kwenye hatua ya tatu(3) ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC).
Hivyo makala KAMATI YA MASHINDANO TFF YAIPA USHIND PRISONS NA JKT RUVU KOMBE LA FA
yaani makala yote KAMATI YA MASHINDANO TFF YAIPA USHIND PRISONS NA JKT RUVU KOMBE LA FA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA MASHINDANO TFF YAIPA USHIND PRISONS NA JKT RUVU KOMBE LA FA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/kamati-ya-mashindano-tff-yaipa-ushind.html
0 Response to "KAMATI YA MASHINDANO TFF YAIPA USHIND PRISONS NA JKT RUVU KOMBE LA FA"
Post a Comment