Loading...

BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI

Loading...
BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI
link : BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI

soma pia


BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI

Balozi wa Tanzania nchi Ubelgiji Mh:Edward Joseph Sokoine katikati akiwa na baadhi ya watanzania waliofika jana kwenye kikao cha kusikiliza na kutafutia ufumbuzi kero za watanzania wanaoishi nje ya  Tanzania. {Picha zote na Maganga One Blog} 


Kiongozi wa Watanzani kitongoji cha Antwerpen nchini Ubelgiji ndugu Joseph Makani akimkaribisha Mh Balozi na maafisa Ubalozi alioambatana nao hapa jana,kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi ndugu Shoo na upande wa kulia ni afisa ubalozi ndugu Juma Salum.Kikao kilikwenda vizuri kwani kila mmoja alipewa fursa ya kuuliza maswali. {picha zote na Maganga One Blog} 

Afisa Ubalozi ndugu Juma Salum{kulia}akitoa ufafanuzi wa swali aliloulizwa kuhusu maswala ya hati za kusafiria pindi mtu anapotaka kurudi nyumbani,alielezea kwa kirefu taratibu zinazotakiwa kufuatwa ili mtu kuepuka usumbufu. 
Baadhi ya kina mama wa Kitanzania na nchi jirani walihudhuria mkutano uliowakutanisha na Balozi Sokoine 


Hivyo makala BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI

yaani makala yote BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/balozi-sokoine-akutana-na-watanzania_29.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BALOZI SOKOINE AKUTANA NA WATANZANIA UBELGIJI"

Post a Comment

Loading...