Loading...

CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO

Loading...
CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO
link : CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO

soma pia


CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO

Na Ripota , Globu ya jamii .

CHAMA cha Wananchi(CUF) kimesema kimejipanga vema kuhakikisha wanashinda uchaguzi mdogo jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam, huku kikionesha kutokuwa na wasiswasi na mgombea wa Chadema Salum Mwalimu ambaye amejitosa kwenye uchaguzi huo. 

Kauli ya CUF inakuja siku moja tu baada ya Mwalimu ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema upande wa Zanzibar kuchukua fomu ya kugombea ubunge Kinondoni. 

Akizungumza na Michuzi Blogu leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa CUF , Abdallah Kambaya amesema wao walishajipanga na kuweka mikakati ya kushinda uchaguzi huo kupitia Salim Jumaa . 

Amefafanua tangu mwanzo walishasema wataingia kwenye uchaguzi huo kwani wanajua jimbo la Kinondoni ni ngome ya CUF na hivyo hakuna wa kuwasumbua. 

"Tumejipanga mapema na tumeona Salum Mwalimu amechukua fomu ya kugombea ubunge na tayari kairudisha huku akisindikizwa na safu ya viongozi wake. Tulitarajia Mwalimu atachukua fomu na ndicho alichofanya. 

"Kwetu sisi wala hakuna ambacho tuna hofu.Hawatumiizi kichwa,"amesema Kambaya na kuongeza CUF imekamilisha kila idara kuhakikisha wanashinda.


Hivyo makala CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO

yaani makala yote CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/cuf-wajigamba-uchaguzi-wa-ubunge-jimbo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CUF WAJIGAMBA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI MCHAGUZI MDOGO"

Post a Comment

Loading...