Loading...

DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UAE

Loading...
DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UAE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UAE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UAE
link : DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UAE

soma pia


DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UAE

ZANZIBAR na Sharjah zimekubaliana kuendelea

kuimarisha uhusiano na ushirikiano wao uliopo katika kuimarisha sekta mbali
mbali za maendeleo zikiwemo elimu na biashara,  


Katika mazungumzo
yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Makaazi ya Mtukufu Dk. Sheikh Sultan Mohammed Al
Qasimi mjini Sharja, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein na kiongozi huyo wote kwa pamoja walisisitiza haja ya
kuimarisha uhusiano na ushirikiano uliopo kwa lengo la kuimarisha sekta hizo
muhimu za maendeleo.


Rais Dk. Shein kwa upande
wake alimpongeza Dk. Sultan kwa hatua zake za kuendelea kuiunga mkono Zanzibar
katika kuimarisha miradi ya maendeleo ukiwemo mradi wa maji.


Pamoja na hayo, viongozi
hao walizungumza jinsi ya kuimarisha uhusiano na ushirikiano katika kuimarisha
sekta ya elimu hasa ikizingatiwa kuwa Sharjah imeweza  kupata mafanikio katika sekta hiyo kutokana
na kuwa na miundombinu mizuri ya elimu vikiwemo vyo vikuu.


Aidha, Dk. Shein
alieleza haja kwa Sharjah kutoa ushirikiano wake kwa Zanzibar katika sekta ya
elimu kupitia Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), jambo ambalo Dk. Sheikh
Sultan Mohammed Al Qasimi ameliunga mkono. 


Hivyo makala DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UAE

yaani makala yote DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UAE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UAE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/dkshein-aendelea-na-ziara-yake-uae.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UAE"

Post a Comment

Loading...