Loading...

MRISHO MPOTO ATOA MSAADA KWA YATIMA, AWAPA MSINGI WA MAISHA

Loading...
MRISHO MPOTO ATOA MSAADA KWA YATIMA, AWAPA MSINGI WA MAISHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MRISHO MPOTO ATOA MSAADA KWA YATIMA, AWAPA MSINGI WA MAISHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MRISHO MPOTO ATOA MSAADA KWA YATIMA, AWAPA MSINGI WA MAISHA
link : MRISHO MPOTO ATOA MSAADA KWA YATIMA, AWAPA MSINGI WA MAISHA

soma pia


MRISHO MPOTO ATOA MSAADA KWA YATIMA, AWAPA MSINGI WA MAISHA

 Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto kwa kushirikiana na team yake ya Mpoto Foundation alitembelea kituo cha watoto yatima cha  Mwandaliwa na madrasa ya Tidaiya iliyopo Tandale.
 Akizungumza na waandishi wa habari wakati akikabidhi zawadi hizo, Mpoto alisema lengo kubwa la kutoa zawadi hizo ni kusaidia malezi ya watoto katika vituo hivyo ili wakue wakiwa katika maadili mazuri.
“Nimeamua kugawana na watoto kidogo nilichojaliwa nacho ili waweze kufurahi lakini pia kuwasaidia katika makuzi hasa kwenye suala zima la kidini na maadili.” alisema Mpoto.

Aidha Mpoto aliongeza kuwa kutokana na mambo mengi yanayoendelea kwa sasa nchini na duniani kote, kuna uwezekano kwa watoto kukua bila misingi mizuri ya dini, heshima na uzalendo kama wasipoandaliwa mazingira mazuri.

Ili kuhakikisha hilo halitokei, Mpoto amesema imekuwa sababu kubwa iliyompelekea kujitolea zawadi hizo ambapo kwa yeye ni kuufungua mwaka 2018 akiwa na thawabu kutoka kwa watoto.


Hivyo makala MRISHO MPOTO ATOA MSAADA KWA YATIMA, AWAPA MSINGI WA MAISHA

yaani makala yote MRISHO MPOTO ATOA MSAADA KWA YATIMA, AWAPA MSINGI WA MAISHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MRISHO MPOTO ATOA MSAADA KWA YATIMA, AWAPA MSINGI WA MAISHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/mrisho-mpoto-atoa-msaada-kwa-yatima_25.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MRISHO MPOTO ATOA MSAADA KWA YATIMA, AWAPA MSINGI WA MAISHA"

Post a Comment

Loading...