Loading...
title : DKT TULIA ACKSON APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE YA WALEMAVU KATUMBA MKOANI MBEYA
link : DKT TULIA ACKSON APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE YA WALEMAVU KATUMBA MKOANI MBEYA
DKT TULIA ACKSON APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE YA WALEMAVU KATUMBA MKOANI MBEYA
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson akipokea Msaada wa kofia kwa ajili ya Watoto wenye ulemavu wa ngozi wanaosoma katika shule ya Walemavu Katumba kutoka kwa Mkurugenzi wa Human Relief Foundation Sheikh Khalid Butchery.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson,akipokea Msaada wa Karatasi kwa ajili ya watu wasioona kutoka kwa mkurugenzi mkuu wa Quintex International Shafiq Dhalla ambaye pia ni mjumbe wa bodi ya ya Human Relief Foundation .
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, akipokea Baiskeli ya Walemavu kutoka kwa Meneja wa Miradi wa Human Relief Fondation Mustafa Bunamay wakati tasisi hiyo ilipokuwa ikikabidhi msaada kwa ajili ya shule ya Maalum Katumba.
Mkurugenzi wa Human Relief Foundation Sheikh Khalid Butchery, akimkabidhi alama ya tasisi hiyo Mjumbe wa bodo wa Human Relief Tanzania Mohamed Bahaswan(Big Bon).
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson,akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Taasisi ya Human Relief Tanzania .
Hivyo makala DKT TULIA ACKSON APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE YA WALEMAVU KATUMBA MKOANI MBEYA
yaani makala yote DKT TULIA ACKSON APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE YA WALEMAVU KATUMBA MKOANI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT TULIA ACKSON APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE YA WALEMAVU KATUMBA MKOANI MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/dkt-tulia-ackson-apokea-msaada-wa-vifaa.html
0 Response to "DKT TULIA ACKSON APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE YA WALEMAVU KATUMBA MKOANI MBEYA"
Post a Comment