Loading...

DKT.MABODI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI DKT.MAGUFULI

Loading...
DKT.MABODI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI DKT.MAGUFULI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT.MABODI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI DKT.MAGUFULI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT.MABODI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI DKT.MAGUFULI
link : DKT.MABODI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI DKT.MAGUFULI

soma pia


DKT.MABODI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI DKT.MAGUFULI

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla ‘Mabodi’ ametuma salamu za rambi rambi kwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Omar Kinana amfikishie Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. John Pombe Magufuli, kufuatia kifo cha Mtumishi wake Marehemu Bi. Nakia Khamis Abdalla aliyefariki leo Januari 25,2018.

Bi. Nakia amefariki dunia akiwa nyumbani kwake mtaa wa Sogea Zanzibar baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Katika Salamu zake Dk. Mabodi amesema CCM Zanzibar imepokea taarifa ya kifo cha mtumishi huyo kwa Mshutuko, Majonzi na Simanzi kubwa, kwani Marehemu enzi za uhai wake alikuwa Mwadilifu aliyefanya kazi kwa bidii na ubunifu wa hali ya juu katika utumishi wake.

Pamoja na hayo alitoa pole kwa familia Wanachama, Viongozi na Watendaji Wote wa CCM, Marafiki pamoja na Jamaa wa karibu walioguswa na msiba huo, na kuwaomba waendelee kuwa na uvumilivu katika kipindi chote cha msiba huo.

“ Marehemu alikuwa ni mfano wa kuigwa enzi za uhai wake hasa kwa kujitolea na kukipigania Chama cha Mapinduzi muda wote wa uhai wake, hivyo tumepoteza mtu muhimu sana ndani ya Chama na Taifa kwa ujumla.

Pia nawaomba watumishi na wanachama na Familia ya Marehemu kuwa na Subra katika kipindi hiki kigumu cha Msiba huo, na tuendelee kumuombea dua mwenzetu ili Mwenyezi Mungu amuweke pahala pema peponi Amin.”, alieleza Dk. Mabodi.



Hivyo makala DKT.MABODI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI DKT.MAGUFULI

yaani makala yote DKT.MABODI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI DKT.MAGUFULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT.MABODI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI DKT.MAGUFULI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/dktmabodi-amtumia-salamu-za-rambi-rambi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT.MABODI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBI RAMBI DKT.MAGUFULI"

Post a Comment

Loading...