Loading...

MAHAFALI YA SEKONDARI YA JOHN BAPTIST YAFANA

Loading...
MAHAFALI YA SEKONDARI YA JOHN BAPTIST YAFANA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAFALI YA SEKONDARI YA JOHN BAPTIST YAFANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAFALI YA SEKONDARI YA JOHN BAPTIST YAFANA
link : MAHAFALI YA SEKONDARI YA JOHN BAPTIST YAFANA

soma pia


MAHAFALI YA SEKONDARI YA JOHN BAPTIST YAFANA

Shule ya Sekondari ya wasichana ya John Baptist imefanya mahafali ya kidato cha nne na kushuhudia jumla ya wanafunzi 32 wakihitimu kidato cha nne.Shule hiyo pia ilitumia mahafali hayo kuzindua rasmi masomo ya kidato cha tano na sita kwa wasichana.
Akizungumza kwenye mahafali hayo mgeni rasmi ambaye ni Rais wa Chemba ya Biashara Tanzania Octa Mshiu alisema " wasichana ni nguzo kuu ya maendeleo ya Taifa letu, tunawaomba muende kutumia maarifa mliyoyapata hapa na muhimu zaidi ni kuendelea kukumbuka kuwa hakuna litakalowezekana bila ya kutilia maanani nidhamu na kufanya kazi kwa bidii".
Naye Mkurugenzi wa shule hiyo Jalia Mayanja alisema shule ya John Baptist imenuia kusaidia wasichana kufikia malengo yao kutumia elimu na kutilia mkazo nidhamu. Aliwakaribisha wazazi kutumia shule hiyo kwa ajili ya masomo ya watoto wao kwa kidato cha tano na sita yaliyoanzishwa. Shule hiyo inayotoa michepuo ya ECA, HKL na HGE na iko Boko Jijini Dar es salaam.


Hivyo makala MAHAFALI YA SEKONDARI YA JOHN BAPTIST YAFANA

yaani makala yote MAHAFALI YA SEKONDARI YA JOHN BAPTIST YAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAFALI YA SEKONDARI YA JOHN BAPTIST YAFANA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/mahafali-ya-sekondari-ya-john-baptist.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAHAFALI YA SEKONDARI YA JOHN BAPTIST YAFANA"

Post a Comment

Loading...