Loading...

HAWA NDIYO WANANCHI WALIO DHURUMIWA ARDHI NA NYUMBA DAR,UMATI WA FIKIA 3000.MAKONDA ATAKA WOTE WAPEWE HUDUMA.

Loading...
HAWA NDIYO WANANCHI WALIO DHURUMIWA ARDHI NA NYUMBA DAR,UMATI WA FIKIA 3000.MAKONDA ATAKA WOTE WAPEWE HUDUMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HAWA NDIYO WANANCHI WALIO DHURUMIWA ARDHI NA NYUMBA DAR,UMATI WA FIKIA 3000.MAKONDA ATAKA WOTE WAPEWE HUDUMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HAWA NDIYO WANANCHI WALIO DHURUMIWA ARDHI NA NYUMBA DAR,UMATI WA FIKIA 3000.MAKONDA ATAKA WOTE WAPEWE HUDUMA.
link : HAWA NDIYO WANANCHI WALIO DHURUMIWA ARDHI NA NYUMBA DAR,UMATI WA FIKIA 3000.MAKONDA ATAKA WOTE WAPEWE HUDUMA.

soma pia


HAWA NDIYO WANANCHI WALIO DHURUMIWA ARDHI NA NYUMBA DAR,UMATI WA FIKIA 3000.MAKONDA ATAKA WOTE WAPEWE HUDUMA.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mh.Paul Makonda akizungumza na wananchi hao leo jijini hapo.

Baadhi ya wananchi waliofika katika zoezi la kuwasilisha malalamiko yao ya kudhulumiwa mali zao.

Mmoja wa Mjane aliedhulumiwa akiwasilisha malalamiko kwa kilio.MwambawahabariZaidi ya wananchi 3000,wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamejitokeza katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo Leo kuweza kuwasilisha mamalamiko yao ya kudhulumiwa Mali zao zikiwemo  Nyumba,viwanja, Mirathi kwa lengo la kupata haki zao za msingi.

zoezi hilo limeanza Leo ambapo litadumu Kwa siku tano mfululizo ikiwa ni agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Paul Makonda la kuwataka wananchi wote wakazi wa Mkoa huo waliodhulumiwa Mali zao, kufika katika ofisi za Mkoa kuwasilisha malalamiko yao chini ya wanasheria na wataalamu wa masuala  mbalimbali.

Akizungumza na wakazi hao waliofika kusikilizwa malalamiko yao,  Rc Makonda amesema wananchi wote waliofika lazima watasikilizwa na wanasheria zaidi ya 160 waliojitoea kusikiliza wananchi hao wanaiteseka na kunyanyasika bila sababu ya msingi.

"Wananchi wametaabika Sana hivyo nimeona nivyema kuaandaa siku maalumu kwa ajili kuwasikiliza chini  ya wanasheria wangu waliojitokeza zaidi ya 160 kuweza kuwasikiliza na kuweza kupata haki zenu za msingi.

Amesema kutokana na wingi huo wa wakazi walioonewa inaonyesha dhahiri kuwa baadhi ya watu hawatendi kazi zao ipasavyo,hivyo watakaobainika watachukuliwa hatua.

"Umati huu wa wananchi wanyonge inaonyesha wapo wafanyakazi wa Serikali hawatendi kazi zao ipasavyo hivyo zoezi hili likiisha nitashughulika na wakuu wa idara zote ambazo hazikufanya kazi yake ipasavyo "Amesema Makonda.
Aidha amesema wananchi wote waliofika watasikilizwa kikamilifu na wanasheria hao waliobobea na baada watowasisha ili kujua nini kifanyike na kila mmoja aweze kupata haki zao kikamilifu.


Pia amewataka wanasheria kusikiliza kila mmoja anaefika kuwasilisha malalamiko hayo kuwasikiliza kwa makini kwa nzia mwanzo hadi mwisho na kuwasihi wasitoe hukumu wao

Kwa upande WA wananchi hao wamemshukuru Rc Makonda kwani ameweza kuwasidia,kuondokana na mateso ikiwa kunyanyaswa kwa zaidi ya miaka ishirini bila ya mafanikio.

 Kwa Upande wake mwananchi Fatuma Muhammad, amesema amedhulumiwa kiwanja chake, na kuteseka kwa zaidi ya miaka kumi bila ya mafanikio hivyo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, wanamatumaini ya kupata haki zao za msingi.


Hivyo makala HAWA NDIYO WANANCHI WALIO DHURUMIWA ARDHI NA NYUMBA DAR,UMATI WA FIKIA 3000.MAKONDA ATAKA WOTE WAPEWE HUDUMA.

yaani makala yote HAWA NDIYO WANANCHI WALIO DHURUMIWA ARDHI NA NYUMBA DAR,UMATI WA FIKIA 3000.MAKONDA ATAKA WOTE WAPEWE HUDUMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HAWA NDIYO WANANCHI WALIO DHURUMIWA ARDHI NA NYUMBA DAR,UMATI WA FIKIA 3000.MAKONDA ATAKA WOTE WAPEWE HUDUMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/hawa-ndiyo-wananchi-walio-dhurumiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "HAWA NDIYO WANANCHI WALIO DHURUMIWA ARDHI NA NYUMBA DAR,UMATI WA FIKIA 3000.MAKONDA ATAKA WOTE WAPEWE HUDUMA."

Post a Comment

Loading...