Loading...

SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA WA HADHARA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

Loading...
SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA WA HADHARA LEO JIJINI DAR ES SALAAM. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA WA HADHARA LEO JIJINI DAR ES SALAAM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA WA HADHARA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.
link : SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA WA HADHARA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

soma pia


SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA WA HADHARA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanya mnada wa hadhara wa kuuza meno ya viboko vipande 12,467 yenye uzito wa kilo 3,580.29 katika ofisi zake ndogo katika Jengo la Mpingo, jijini Dar es Salaam ambapo jumla ya makampuni 19 yenye leseni daraja la kwanza yameshiriki katika mnada huo.

Mnada huo umefanyika chini ya usimamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango ambapo kampuni ya On Tours Tanzania Limited imeibuka mshindi kwa kwa kununua meno hayo kwa jumla ya shilingi 30,900,000/= 

Awali akizungumza katika mnada huo, Mwenyekiti kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Karerema Kwaleh aliwataka wafanyabiashara kuzingatia masharti mnada huo.

Ambapo Karerema alimtaka mfanyabiashara yeyote atakeibuka mshindi kulipia asilimia ishirini na tano (25%) ya bei papo hapo na asilimia sabini na tano (75%) italipwa yote katika muda wa siku kumi na nne (14) baada ya mnada.

Kufuatia sharti hilo baada ya kutangazwa kwa mshindi, Mwakilishi kutoka Kampuni hiyo, Grey Kilas aliweza kulipia asilimia kiasi hicho cha asilimia ishirini na tano (25%) papo hapo na asilimia sabini na tano (75%) atailipia ifikapo Februari 11, 2018.


 Baadhi ya  meno ya viboko vipande  12,467 yenye uzito wa kilo 3,580.29 ambayo yameuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara  leo   jijini Dar es Salaam kwa Kampuni ya On Tours Tanzania Limited kwa kiasi cha shilingi 30,900,000/= (Picha na Lusungu Helela-MNRT).



Hivyo makala SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA WA HADHARA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

yaani makala yote SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA WA HADHARA LEO JIJINI DAR ES SALAAM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA WA HADHARA LEO JIJINI DAR ES SALAAM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/serikali-yauza-meno-ya-viboko-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA WA HADHARA LEO JIJINI DAR ES SALAAM."

Post a Comment

Loading...