Loading...

KOKA ATOA MILIONI MBILI KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA YALIYOUNGU ASHULE YA MSINGI KONGOWE

Loading...
KOKA ATOA MILIONI MBILI KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA YALIYOUNGU ASHULE YA MSINGI KONGOWE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOKA ATOA MILIONI MBILI KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA YALIYOUNGU ASHULE YA MSINGI KONGOWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KOKA ATOA MILIONI MBILI KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA YALIYOUNGU ASHULE YA MSINGI KONGOWE
link : KOKA ATOA MILIONI MBILI KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA YALIYOUNGU ASHULE YA MSINGI KONGOWE

soma pia


KOKA ATOA MILIONI MBILI KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA YALIYOUNGU ASHULE YA MSINGI KONGOWE

Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha

MBUNGE wa jimbo la Kibaha Mjini, Silvestry Koka, ametoa kiasi cha shilingi milioni mbili zitakazosaidia kutumika kuezeka madarasa yaliyojengwa baada ya kuungua katika shule ya msingi Kongowe.

Mwaka 2016 vyumba vitatu vya madarasa na ofisi, shuleni hapo viliungua kutokana na kutokea shoti ya umeme .

Koka alitoa mchango huo, wakati alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara ,Miembesaba 'A'kata ya Kongowe katika muendelezo wa ziara yake ya jimbo.Aliomba fedha zinazotolewa kwa ajili ya miradi ya maendeleo pamoja na kukamilisha ujenzi wa shule hiyo zisimamiwe na kutumika kwa matumizi lengwa.

Akizungumzia changamoto za kielimu kijumla ,alisema kwasasa maeneo mengi yanakabiliwa na tatizo la upungufu na uchakavu wa miundombinu .
Koka aliitaka jamii ,wadau ,kamati za shule na viongozi mbalimbali kushiririkiana kuongeza vyumba vya madarasa na matundu ya vyoo mashuleni .

"Kulikuwa na kero kubwa ya uhaba wa madawati na kusababisha watoto wetu kusoma huku wakiwa wamekaa chini na kupata vifua kutokana na vumbi""Lakini tumejitahidi tumemaliza kero hiyo ,kilichobaki kwasasa ni tatizo la miundombinu,ambapo tushikamane kumaliza ama kulipunguza ili watoto waondokane na mlundikano wa kusoma kwenye darasa moja ama kusoma kwa awamu" alifafanua Koka.



Hivyo makala KOKA ATOA MILIONI MBILI KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA YALIYOUNGU ASHULE YA MSINGI KONGOWE

yaani makala yote KOKA ATOA MILIONI MBILI KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA YALIYOUNGU ASHULE YA MSINGI KONGOWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KOKA ATOA MILIONI MBILI KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA YALIYOUNGU ASHULE YA MSINGI KONGOWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/koka-atoa-milioni-mbili-kuchangia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KOKA ATOA MILIONI MBILI KUCHANGIA UJENZI WA MADARASA YALIYOUNGU ASHULE YA MSINGI KONGOWE"

Post a Comment

Loading...