Loading...

RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA MABASI 11 YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.

Loading...
RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA MABASI 11 YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA MABASI 11 YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA MABASI 11 YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.
link : RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA MABASI 11 YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.

soma pia


RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA MABASI 11 YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.


Mwambawahabari

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo amefanya Ziara katika kampuni ya Dar Coach LTD, na kukagua Maendeleo ya Ukarabati wa Mabasi 11 ya Vyombo vya ulinzi na Usalama ikiwemo Jeshi la Wananchi,Jeshi la Police na Magereza,  ambapo ameahidiwa hadi Mwishoni mwa mwezi Januari mwaka huu baadhi yatakuwa yameshakamilika na kukabidhiwa.


Akizungumza mara baadaya kutembelea Kampuni inayofanya Ukarabati wa magari hayo Makonda amesema kuwa zoezi la Ukarabati  hayo litasaidia kuboresha mazingira ya kazi kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa kuwa kazi ya Ulinzi na Usalama ni wa Raia na linahitaji mazingira rafiki ya kazi.

Aidha  Makonda amedhibitisha kulidhishwa na kasi ya ukarabati wa mabasi hayo ambapo amekishukuru kiwanda cha Dar Coach Ltd kwa uzalendo wa kujitolea kukarabati Magari hayo ili kuongeza ufanisi katika vyombo vya ulinzi na usalama.

"Kama mnavyokumbuka Magari haya ni yale yaliyokuwa Chakavu ambapo kwasasa yapo katika hatua ya mwisho kukamilika ambapo yatafungwa vifaa vya kisasa ikiwemo AC, Chaji ya Simu, TV, Viti,  Bodi mpya, Taa, Side mirrors, Tairi, Vioo huku baadhi zikiwekewa Vyoo vya Ndani kwa lengo la kuweka mazingira Rafiki kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama" amesema


Kwa Upande wake Mkurugenzi wa Kampuni ya  Dar Coach LTD ambayo imejitolea kufanya Ukarabati huo Manmeet Lal amesema kuwa zoezi hilo ni katika kuunga mkono jitihada za Serikali katika kuimarisha Ulinzi na usalama  wa Raia na mali zao kwa ujumla. Pia amemhakikishia Rc makonda hadi mwishoni mwa mwezi huu kumkabidhi magari matano ambayo yameshakamilika.


Hata hivyo kwa upande wa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar ea salaam Lazaro Mambosasa,amemshukuru Rc makonda kwa hatua aliyoichukua kusaidia vyombo vya ulinzi na usalama kupitia wadau wake kusaidia kukarabati mabasi hayo ambayo yatasaidia kuongeza ufanisi ktk utendaji kazi.






Hivyo makala RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA MABASI 11 YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.

yaani makala yote RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA MABASI 11 YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA MABASI 11 YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/rc-makonda-afanya-ziara-ya-kukagua.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MAENDELEO YA UKARABATI WA MABASI 11 YA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA."

Post a Comment

Loading...