Loading...

MACHIMBO ARUSHA YAMEZA WAWILI, HUZUNI , MAJONZI VYATAWALA

Loading...
MACHIMBO ARUSHA YAMEZA WAWILI, HUZUNI , MAJONZI VYATAWALA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MACHIMBO ARUSHA YAMEZA WAWILI, HUZUNI , MAJONZI VYATAWALA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MACHIMBO ARUSHA YAMEZA WAWILI, HUZUNI , MAJONZI VYATAWALA
link : MACHIMBO ARUSHA YAMEZA WAWILI, HUZUNI , MAJONZI VYATAWALA

soma pia


MACHIMBO ARUSHA YAMEZA WAWILI, HUZUNI , MAJONZI VYATAWALA


Wachimbaji wanne wamefariki na  mmoja yupo mahututi baada ya kuangukiwa na Ngema  walipokuwa wakipakiza  changarawe kwenye gari katika machimbo ya changarawe yaliyopo katika mlima Murieti katika jiji la Arusha.

Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amethibitisha jana Januari 30 kuhusu  kutokea tukio hilo  mchana, katika eneo ambalo ni machimbo ya muda mrefu ya changarawe.

Miili ya watu watatu tayari imetambulika ambao ni Yusuph Mohamed Kamwende(35) Athuman Hussein  umri wake haujatambulika na Richard Kishimbo(57).

"Bado  mwili wa marehemu mmoja haijafahamika na tunaomba watu kufika chumba cha kuhifadhi maiti katika hospitali ya mkoa Mount Meru kutambua ndugu zao" alisema  Kamanda.

Hata hivyo, alitoa  wito kwa maafisa madini kwenda mara kwa mara kwenye maeneo ya machimbo ili kutazama usalama wa maeneo hayo ili kuondoa majanga.

"Pale inaonekana ngema moja ilikuwa imelegea sasa wao wakiwa wanachimba changarawe ndipo iliwadondokea na kuwafukia" alisema

Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo, John Lemanya amesema  wakati watu hao wakichimba, ilisikika mlio wa kuanguka  ngema na waliona wakiangukiwa.

"Wao walikuwa wameingia chini ya ngema na kuanza kukata miamba na ndipo mtikisiko ulitokea na kufanya kumeguka kwa ngema na kuwaangukia"Amesema

Hata hivyo hili ni tukio la pili ndani ya miaka mitatu kutokea ambapo mwaka juzi pia machimbo hayo yalifungwa baada ya kusababisha vifo kutokana na wachimbaji kuangukiwa na ngema.


Hivyo makala MACHIMBO ARUSHA YAMEZA WAWILI, HUZUNI , MAJONZI VYATAWALA

yaani makala yote MACHIMBO ARUSHA YAMEZA WAWILI, HUZUNI , MAJONZI VYATAWALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MACHIMBO ARUSHA YAMEZA WAWILI, HUZUNI , MAJONZI VYATAWALA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/machimbo-arusha-yameza-wawili-huzuni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MACHIMBO ARUSHA YAMEZA WAWILI, HUZUNI , MAJONZI VYATAWALA"

Post a Comment

Loading...