Loading...
title : MATUKIO KATIKA PICHA RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KAMPUNI YA DAR COACH.
link : MATUKIO KATIKA PICHA RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KAMPUNI YA DAR COACH.
MATUKIO KATIKA PICHA RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KAMPUNI YA DAR COACH.
Mwambawahabari
RC MAKONDA akifanya Ziara ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa Mabasi ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama yaliyopelekwa Katika kampuni ya Dar Coach Iliyopo Mwandege mkuranga Mkoa wa PwaniMkurugenzi Manmeet Lal (Sunny) akielekeza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mh Paul Makonda (kushoto) akiongea jambo na Mkurugenzi wa kampuni ya Dar Coach Ltd Manmeet Lal(Sunny).
RC Makonda akiweka saini katika kitabu cha wageni alipofanya Ziara katika kampuni Ya Dar Coach iliyopo Mwandege Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KAMPUNI YA DAR COACH.
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KAMPUNI YA DAR COACH. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KAMPUNI YA DAR COACH. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/matukio-katika-picha-rc-makonda-afanya.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA RC MAKONDA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA KAMPUNI YA DAR COACH."
Post a Comment