Loading...

MKURUGENZI WA TPA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA

Loading...
MKURUGENZI WA TPA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURUGENZI WA TPA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKURUGENZI WA TPA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA
link : MKURUGENZI WA TPA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA

soma pia


MKURUGENZI WA TPA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA

Balozi wa China Nchini Tanzania Bi. Wang Ke akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit Kakoko mara baada ya kumtembelea ofisini kwake. Balozi Wang amefanya ziara hiyo ya kuja kutoa shukuruni zake kwa Mkurugenzi Mkuu kwa jinsi TPA ilivyohudumia meli yao ya Kichina yenye Hospitali. Pamoja na shukurani hizo, viongozi hao pia walizungumzia maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo pamoja na jinsi Treni ya TAZARA inavyohudumia mizigo ipitayo bandarini.


Hivyo makala MKURUGENZI WA TPA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA

yaani makala yote MKURUGENZI WA TPA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI WA TPA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/mkurugenzi-wa-tpa-akutana-na-balozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKURUGENZI WA TPA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA"

Post a Comment

Loading...