Loading...
title : Mradi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo kufunguliwa rasmi na Rais Dk Shein
link : Mradi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo kufunguliwa rasmi na Rais Dk Shein
Mradi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo kufunguliwa rasmi na Rais Dk Shein
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Maji ,Nishati na Mazingira wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Ali Khalil Mirza, akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali Kisiwani Pemba, juu ya kukamilika mradi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo ambao unatarajiwa kufunguliwa rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Ali Mohammed Shein, katika shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi .
Baadhi ya Waandishi wa habari Kisiwani Pemba, wakiwa katika mkutano na Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi,maji , Nishati na Mazingira wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Ali Khalil Mirza, juu ya kukamilika kwa mradi wa umeme katika Kisiwa cha Fundo ambao unatarajiwa kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt, Ali Mohammed Shein, katika shamra shamra za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.
PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.
Hivyo makala Mradi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo kufunguliwa rasmi na Rais Dk Shein
yaani makala yote Mradi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo kufunguliwa rasmi na Rais Dk Shein Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mradi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo kufunguliwa rasmi na Rais Dk Shein mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/mradi-wa-umeme-katika-kisiwa-cha-fundo.html
0 Response to "Mradi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo kufunguliwa rasmi na Rais Dk Shein"
Post a Comment