Loading...

MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM
link : MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba akiongoza kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na Idara zilizopo chini ya wizara.Kushoto  meza kuu ni Katibu Mkuu wa wizara, Meja Jenerali Mstaafu Projest Rwegasira na kulia ni Naibu Katibu Mkuu Balozi Hassan Simba Yahya.Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Mstaafu Projest Rwegasira, akizungumza  na Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama(hawapo pichani), wakati wa kikao cha kujadili utendaji kazi wa   wizara na idara zilizopo chini ya wizara.Kulia ni Waziri wa wizara hiyo, Dk. Mwigulu Nchemba. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam. 
Mkuu wa Utawala na Fedha  wa Jeshi la Polisi, Kamishna Albert Nyamhanga,  akiwasilisha taarifa ya utendaji wa idara ya polisi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba(hayupo pichani), wakati wa kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na Idara zilizopo chini ya wizara. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kamishna Musa Ali Musa. 
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dk. Juma Malewa akiwasilisha taarifa ya utendaji wa idara ya magereza  kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (hayupo pichani), wakati wa kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na Idara zilizopo chini ya wizara. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage akiwasilisha taarifa ya utendaji wa idara yake  kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba(hayupo pichani), wakati wa kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na Idara zilizopo chini ya wizara. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,jijini Dar es Salaam. 
Kaimu Mkuu wa  Idara  Uzalishaji Vitambulisho wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(Nida), Alphonce Malibiche, akiwasilisha taarifa ya utendaji wa idara yake  kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba(hayupo pichani), wakati wa kikao cha kujadili utendaji kazi wa wizara na Idara zilizopo chini ya wizara. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam. 


Hivyo makala MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/mwigulu-aongoza-kikao-cha-wizara-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA WIZARA NA IDARA ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...