Loading...

WAZIRI AAGIZA KUFUFULIWA KWA MNADA IFIKAPO FEBRUARI ILI KUDHIBITI UPOTEVU WA MAPATO YA KILA MWEZI

Loading...
WAZIRI AAGIZA KUFUFULIWA KWA MNADA IFIKAPO FEBRUARI ILI KUDHIBITI UPOTEVU WA MAPATO YA KILA MWEZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI AAGIZA KUFUFULIWA KWA MNADA IFIKAPO FEBRUARI ILI KUDHIBITI UPOTEVU WA MAPATO YA KILA MWEZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI AAGIZA KUFUFULIWA KWA MNADA IFIKAPO FEBRUARI ILI KUDHIBITI UPOTEVU WA MAPATO YA KILA MWEZI
link : WAZIRI AAGIZA KUFUFULIWA KWA MNADA IFIKAPO FEBRUARI ILI KUDHIBITI UPOTEVU WA MAPATO YA KILA MWEZI

soma pia


WAZIRI AAGIZA KUFUFULIWA KWA MNADA IFIKAPO FEBRUARI ILI KUDHIBITI UPOTEVU WA MAPATO YA KILA MWEZI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (mwenye kofia) akipata maelezo ya hali ya sekta ya mifugo na Uvuvi kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanali Denis Mwila (mwenye suti nyeusi) alipotembelea kituo cha mpakani cha Mutukula leo.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (mwenye kofia) akipokea maelezo ya changamoto za ukaguzi mazao ya mifugo na Uvuvi kutoka kwa Afisa Uhamiaji Konstabo, Rahabu Joel alipotembelea kituo cha mpakani cha Mutukula leo.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (mwenye kofia) akiangalia mabondo ya samaki aina ya Sangara yaliyokamatwa katika kituo cha mpaka cha Mutukula mkoani Kagera. Kulia ni kaimu Mkurugenzi wa Idara ya maendeleo ya Uvuvi Mwanaidi Mlolwa katikati Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Missenyi Limbe Maurice. Kilo120 zilikamatwa katika kituo hicho.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akifungua mlango wa gari lililokamatwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Ngara likiwa limepakia samaki kilo 2,000 aina ya Sangara na kilo 530 wa aina ya Sato zenye thamani ya shillingi 20,850,000/= kwenye mpaka wa Mlusagamba wilayani Ngara tarehe 03/12/2017.

Na John Mapepele

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Joelson Mpina ya Halmashauri ya Wilaya ya Ngara kuhakikisha inafufua mara moja mnada wa Mlusagamba ifikapo mwezi Februari mwaka huu ili kudhibiti zaidi ya milioni mia moja zinazopotea kwa wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi ya Serikali ya kusafirisha mifugo nje ya nchi kwa kupita njia za panya.

Waziri Mpina aliyasema haya leo alipokutana na uongozi wa Halmashauri hiyo pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Ngara katika kituo cha mpaka cha Rusumo baina ya Tanzania na Rwanda kukagua shughuli mbalimbali za sekta za Mifugo na Uvuvi baada ya kutokea katika kituo cha Mutukula mkoani Kagera ambapo pia alifanya ukaguzi kama huo na kukamata kilo 120 za mabondo ya samaki aina ya Sangara yaliyokuwa yakitokea nchi jirani ya Uganda bila kufuata utaratibu.

“Mimi kama Waziri mwenye dhamana ya sekta ya mifugo na uvuvi naelekeza kwamba ifikapo Februari mwaka huu nataka miundo mbinu yote iwe imeboreshwa na mnada wa Mlusagambo uwe unafanya kazi katika kiwango cha mnada wa upili na mimi mwenyewe nitahakikisha ninakuja kuuzindua”lisisitiza Mpina

BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI


Hivyo makala WAZIRI AAGIZA KUFUFULIWA KWA MNADA IFIKAPO FEBRUARI ILI KUDHIBITI UPOTEVU WA MAPATO YA KILA MWEZI

yaani makala yote WAZIRI AAGIZA KUFUFULIWA KWA MNADA IFIKAPO FEBRUARI ILI KUDHIBITI UPOTEVU WA MAPATO YA KILA MWEZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI AAGIZA KUFUFULIWA KWA MNADA IFIKAPO FEBRUARI ILI KUDHIBITI UPOTEVU WA MAPATO YA KILA MWEZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/waziri-aagiza-kufufuliwa-kwa-mnada.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI AAGIZA KUFUFULIWA KWA MNADA IFIKAPO FEBRUARI ILI KUDHIBITI UPOTEVU WA MAPATO YA KILA MWEZI"

Post a Comment

Loading...