Loading...

Naibu Waziri Kandege avunja mkataba wa TBA na Halmashauri ya Wilaya ya Butiama.

Loading...
Naibu Waziri Kandege avunja mkataba wa TBA na Halmashauri ya Wilaya ya Butiama. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Waziri Kandege avunja mkataba wa TBA na Halmashauri ya Wilaya ya Butiama., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Waziri Kandege avunja mkataba wa TBA na Halmashauri ya Wilaya ya Butiama.
link : Naibu Waziri Kandege avunja mkataba wa TBA na Halmashauri ya Wilaya ya Butiama.

soma pia


Naibu Waziri Kandege avunja mkataba wa TBA na Halmashauri ya Wilaya ya Butiama.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege ameagiza kuvunjwa kwa Mkataba wa Tsh Bil 3.2 kwa ajili ya Ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama iliyokuwa ikijengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA).

Mhe Kandege ameyasema hayo kufuatia Ukaguzi aliyoufanya baada ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa aliyekamilisha ziara yake Mkoani hapa kumuagiza kufanya Ukaguzi huo kutokana na kutoridhishwa na taarifa aliyoipokea kutoka kwa Meneja wa TBA Mkoa wa Mara kuhusiana na mradi huo.

Mhe Kandege alisema kuwa katika ukaguzi wake amebaini kuwepo kwa kasi ndogo ya utekelezaji wa Mradi huo na kubadilishwa kwa eneo lililofanyiwa usanifu hapo awali kwa ajili ya ujenzi badala yake kazi hiyo kufanyika katika eneo tofauti na lile la awali hivyo kuiongezea Serikali gharama ya Tsh Mil. 180.

Aidha, aliongeza kuwa taarifa iliyotolewa na Meneja wa Wakala wa Majengo Mkoa wa Mara kwa Waziri Mkuu ilieleza kuwa kati ya Tsh. mil. 600 zilizopokelewa Aprili, 2017 kutoka Serikali kuu, Tsh Mil. 400 zimekwishatumika kujenga msingi na kazi hiyo imekamilika kwa asilimia 60 tofauti na hali aliyoikuta alipotembelea eneo hilo la Mradi.
Naibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe Josephat Kandege akimskiliza Meneja wa TBA Mkoa wa Mara wakati alipotembelea eneo ya ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Butiama
Hapa ndipo mradi ulipofikia wa ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama inayojengwa na TBA ambao mkataba wake umesitishwa
Hii ndio Kazi iliyofanyika mpaka sasa kwenye eneo la Ujenzi ilihali taarifa iliyotokewa kwa Waziri Mkuu ni kuwa ujenzi wa Msingi umefikia asilimia 60.



Hivyo makala Naibu Waziri Kandege avunja mkataba wa TBA na Halmashauri ya Wilaya ya Butiama.

yaani makala yote Naibu Waziri Kandege avunja mkataba wa TBA na Halmashauri ya Wilaya ya Butiama. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Kandege avunja mkataba wa TBA na Halmashauri ya Wilaya ya Butiama. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/naibu-waziri-kandege-avunja-mkataba-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Naibu Waziri Kandege avunja mkataba wa TBA na Halmashauri ya Wilaya ya Butiama."

Post a Comment

Loading...