Loading...

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Loading...
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
link : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga, na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Zanzibar Balozi Ali Karume,
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisikiliza hoja zikitolewa na Balozi Celestine Mushi wakati alipoongea na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba. Kushoto kwake ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji  wa Zanzibar Balozi Ali Karume, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Ramadhani Mwinyi Muombwa, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama a Taifa Dkt. Modestus Kipilimba na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisikiliza hoja wakati alipoongea na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba. Kushoto kwake ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Zanzibar Balozi Ali Karume, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Ramadhani Mwinyi Muombwa, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama a Taifa Dkt. Modestus Kipilimba na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Dotto James wakati alipoongea na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba. Kushoto kwake ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Zanzibar Balozi Ali Karume, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Ramadhani Mwinyi Muombwa, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama a Taifa Dkt. Modestus Kipilimba.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga wakifurahia jambo baada ya Mhe. Rais kuongea na watumishi wa Wizara hiyo kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018.
 Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masshariki wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  alipoongea nao kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiagana na  Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masshariki  baada ya kuongea nao kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018.
Picha na IKULU



Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/rais-dkt-magufuli-akutana-na-watumishi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA"

Post a Comment

Loading...