Loading...

CHADEMA YAKUBALI YAISHE UCHAGUZI WA UBUNGE KINONDON NA SIHA.

Loading...
CHADEMA YAKUBALI YAISHE UCHAGUZI WA UBUNGE KINONDON NA SIHA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHADEMA YAKUBALI YAISHE UCHAGUZI WA UBUNGE KINONDON NA SIHA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHADEMA YAKUBALI YAISHE UCHAGUZI WA UBUNGE KINONDON NA SIHA.
link : CHADEMA YAKUBALI YAISHE UCHAGUZI WA UBUNGE KINONDON NA SIHA.

soma pia


CHADEMA YAKUBALI YAISHE UCHAGUZI WA UBUNGE KINONDON NA SIHA.




Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza majina ya wanachama wake walipitishwa kugombea ubunge wa Kinondoni na Siha Februari 17.

Taarifa ya Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema aliyoitoa leo Januari 19, 2019 amesema walipitishwa ni Elvis Christopher Mosi kugombea Siha na Salimu Mwalimu kugombea Kinondoni.

“Kamati Kuu ya Chama imemaliza vikao vyake leo Januari 19, 2018 na imefanya uamuzi wa kushiriki kwenye uchaguzi mdogo kwenye majimbo ya Kinondoni na Siha unaotarajiwa kufanyika Februari 17, 2018,” amesema Mrema na kuongeza,

“Wagombea wote wameshachukua fomu za uteuzi kutoka kwa  wasimamizi wa uchaguzi kwenye majimbo husika na watazirejesha kesho Jumamosi Januari 20,  2018 , kwa ajili ya uteuzi.”


Hivyo makala CHADEMA YAKUBALI YAISHE UCHAGUZI WA UBUNGE KINONDON NA SIHA.

yaani makala yote CHADEMA YAKUBALI YAISHE UCHAGUZI WA UBUNGE KINONDON NA SIHA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHADEMA YAKUBALI YAISHE UCHAGUZI WA UBUNGE KINONDON NA SIHA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/chadema-yakubali-yaishe-uchaguzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CHADEMA YAKUBALI YAISHE UCHAGUZI WA UBUNGE KINONDON NA SIHA."

Post a Comment

Loading...