Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU WAZIRI WA MADINI MHE. DOTTO MASHAKA BITEKO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
link : RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU WAZIRI WA MADINI MHE. DOTTO MASHAKA BITEKO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU WAZIRI WA MADINI MHE. DOTTO MASHAKA BITEKO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimmkabidhi nyenzo za kazi Mhe. Dotto Mashaka Biteko baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakimsikiliza Mhe. Dotto Mashaka Biteko akila kiapo cha Uadilifu cha Viongozi wa Umma baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mhe. Dotto Mashaka Biteko baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo. Kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Dotto Mashaka Biteko baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi baada ya kumuapisha Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi baada ya kumuapisha Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mmoja wa wajumbe wa kamati ya Nishati na Madini waliohudhuria kwenye hafla ya kuapishwa Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU WAZIRI WA MADINI MHE. DOTTO MASHAKA BITEKO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU WAZIRI WA MADINI MHE. DOTTO MASHAKA BITEKO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU WAZIRI WA MADINI MHE. DOTTO MASHAKA BITEKO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/rais-dkt-magufuli-amuapisha-naibu_8.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU WAZIRI WA MADINI MHE. DOTTO MASHAKA BITEKO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment