Loading...
title : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUZI JENGO LA MTAKIMWI MKUU WA SEREKALI MAZIZINI ZANZIBAR
link : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUZI JENGO LA MTAKIMWI MKUU WA SEREKALI MAZIZINI ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUZI JENGO LA MTAKIMWI MKUU WA SEREKALI MAZIZINI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akikunjuwa kitambaa kuashiria Uzinduzi wa Jengo jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akifukia mche wa Mnazi baada ya kuupanda katika Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. kulia yake ni Makamo wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Idi
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Bi,Mayasa Mahfoudh Mwinyi akisoma Risala katika Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Ms,Bella Bird akitoa maelezo mafupi katika Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed akitoa maelezo kuhusiana na utekelezaji wa maazimio yaliotolewa wakati wasemina ya watendaji wakuu kuhusu umuhimu wa Takwimu katika Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar. .PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUZI JENGO LA MTAKIMWI MKUU WA SEREKALI MAZIZINI ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUZI JENGO LA MTAKIMWI MKUU WA SEREKALI MAZIZINI ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUZI JENGO LA MTAKIMWI MKUU WA SEREKALI MAZIZINI ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/rais-wa-zanzibar-dk-shein-afunguzi.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUZI JENGO LA MTAKIMWI MKUU WA SEREKALI MAZIZINI ZANZIBAR"
Post a Comment