Loading...
title : TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI
link : TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI
TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI
Mwambawahabari
Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme, wameomba radhi wananchi wanaotumia kivuko cha Mv Magogoni jijini Dar es salaam, kuwa na subira katika kipindiki hiki ambacho wanashughulikia tatizo lake.
Kwenye taarifa maalum iliyotolewa kwa vyombo vya habari, imesema kivuko hicho kimeharibika kutokana na kamba na nanga za maboti ya wavuvi kunasa kwenye mitambo ya kuendesha kivuko hicho, na kusababisha huduma kusimama kwa muda.
Kutokana na tatizo hilo Wizara imesema viuko vingine kama Mv. Kazi na Mv. Kigamboni vinaendelea na shughuli za kuvusha watu, huku ikiwataka wananchi wanaofanya shughuli zao za kibinadamu upande wa Kigamboni kutokufanya shughuli hizo karibu na maegesho ya kivuko ili kuzuia tukio kama hilo kujitokeza tena.
Hivyo makala TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI
yaani makala yote TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/temesa-yaombaradhi-kukwama-kwa-usafiri.html
0 Response to "TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI"
Post a Comment