Loading...

TRA YA ANZA ZOEZI LA KUSAJILI WALIPAKODI WAPYA, CHANIKA ILALA

Loading...
TRA YA ANZA ZOEZI LA KUSAJILI WALIPAKODI WAPYA, CHANIKA ILALA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TRA YA ANZA ZOEZI LA KUSAJILI WALIPAKODI WAPYA, CHANIKA ILALA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TRA YA ANZA ZOEZI LA KUSAJILI WALIPAKODI WAPYA, CHANIKA ILALA
link : TRA YA ANZA ZOEZI LA KUSAJILI WALIPAKODI WAPYA, CHANIKA ILALA

soma pia


TRA YA ANZA ZOEZI LA KUSAJILI WALIPAKODI WAPYA, CHANIKA ILALA


Mfanyakajazi wa TRA,akimhudunia mteja katika Kituo cha kuandikisha walipakodi  eneo la Chanika. (Picha na John Luhende).


Na. John Luhende

Mwambawahabari

Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) imesema kuwa wanatarajia kusajili walipakodi wapya 1000,000  ambao watalipa kodi Sh. Bilioni 1.5.

Akizungumza katika usajili wa kituo cha kusajili wafanyabiashara wa dogo cha Chanika, Kamishna wa Kodi za Ndani, Elijah Mwandumbya amesema kuwa kampeni ya kusajili wafanyabiashara wa dogo ni endelevu.







Kamishna wa Kodi za Ndani, Elijah Mwandumbya, akizungumza na waandishi wa habari katika eneo la Chanika.



Elijah amesema kuwa wananchi Wajitokeze kusajiliwa kadri kodi zinavyolipwa ndiyo zinafanya maendeleo ya nchi.



Amesema kuwa uhamasishaji wa ulipaji kodi na usajili utaendelea kwa kuweka vituo karibu na wafanyabiashara.



Mkurugenzi wa Idara ya elimu kwa mlipa kodi wa TRA, Richard Kayombo akizungumza na waandishi wa habari,(picha zote na John Luhende).



Kwa upande wake  Mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi wa Mamlaka hiyo Richard Kayombo amewataka wananchi wa naishi maeneo hayo kujitokeza kwa wingi kwaajili ya kujiandikisha  na kusema kuwa zoezi hilo katika Kituo hicho Litadumu kwa muda wa juma moja.



"tukitoka Manispaa ya Ilala tuta elekea Temeke na baadaye Tutaendelea kufungua vituo katika maeneo mbalimbali" alisema Kayombo.



Aidha Kayombo amesema, Mamlaka hiyo imeamua kuja na kampeni hii  baada ya kutambua kuwa kulikuwa na usumbufu kwa Wafanya biashara kupata TIN namba, kutokana na umbali kutoka wakazi wa eneo hilo hadi Vingunguti, na sasa wamesomea huduma hiyo na kwamba watakaoandukisha hawana lazima kulipa kodi siku hiyo hiyo.



Pamoja na hayo amewatahadhalisha wananchi kutolaghaiwa na matapeli kwani kazi hiyo inafanya na TRA yenyewe na hakuna wakala aliye pewa kazi hiyo.



Hivyo makala TRA YA ANZA ZOEZI LA KUSAJILI WALIPAKODI WAPYA, CHANIKA ILALA

yaani makala yote TRA YA ANZA ZOEZI LA KUSAJILI WALIPAKODI WAPYA, CHANIKA ILALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TRA YA ANZA ZOEZI LA KUSAJILI WALIPAKODI WAPYA, CHANIKA ILALA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/tra-ya-anza-zoezi-la-kusajili_3.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TRA YA ANZA ZOEZI LA KUSAJILI WALIPAKODI WAPYA, CHANIKA ILALA"

Post a Comment

Loading...