Loading...

UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOANI SHINYANGA

Loading...
UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOANI SHINYANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOANI SHINYANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOANI SHINYANGA
link : UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOANI SHINYANGA

soma pia


UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOANI SHINYANGA

 Kaimu Mkurugenzi wa uzalishaji  Mifugo na Masoko wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi,  Dk. Assimwe Rwiguza akipigaji chapa ng’ombe katika Kijiji cha Idodoma Wilaya ya Shinyanga ikiwa ni sehemu ya timu ya wataalamu 15 wa mifugo walioko katika mikoa 26 kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa zoezi la upigaji chapa linalotarajiwa kukamilika January 31 mwaka huu.
 Kaimu Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi  Dk  Asimwe  Rwiguza akitoa ufafanuzi wa mahali sahihi panapotakiwa kupiga chapa kwa ng'ombe kwa wafugaji wa Kijiji cha Idodomya wilayani Shinyanga. kushoto ni Afisa Mifugo wa Halmashauri ya Wilaya Shinyanga, Dk. Clement Batisiliko
Kaimu Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi  Dk.  Asimwe  Rwiguza akitoa ufafanuzi kwa wafugaji wa Kijiji cha Idomya umuhimu wa kupiga chapa mifugo yao kabla ya muda wa nyongeza uliowekwa na Serikali kumalizika wa Januari 31 mwaka huu ambapo Dk. Assimwe ni miongoni mwa timu ya wataalamu 15 wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi walioko kwenye mikoa 26 ya Tanzania bara kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa zoezi la upigaji chapa.


Hivyo makala UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOANI SHINYANGA

yaani makala yote UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOANI SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOANI SHINYANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/upigaji-chapa-mifugo-katika-mkoani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UPIGAJI CHAPA MIFUGO KATIKA MKOANI SHINYANGA"

Post a Comment

Loading...