Loading...

HATMA YA DHAMANA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA TARIME KUJULIKANA NOVEMBA 23,2018

Loading...
HATMA YA DHAMANA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA TARIME KUJULIKANA NOVEMBA 23,2018 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HATMA YA DHAMANA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA TARIME KUJULIKANA NOVEMBA 23,2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HATMA YA DHAMANA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA TARIME KUJULIKANA NOVEMBA 23,2018
link : HATMA YA DHAMANA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA TARIME KUJULIKANA NOVEMBA 23,2018

soma pia


HATMA YA DHAMANA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA TARIME KUJULIKANA NOVEMBA 23,2018

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema Novemba 23.2018 itatoa uamuzi wa kumfutia dhamana ama la Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini Ester Matiko baada ya wiki iliyopita kutoa amri ya kukamatwa kwa washtakiwa hao kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana.

Hatua hiyo imekuja baada ya watuhumiwa hao kufika mahakamani wenyewe na kujieleza.

Akitoa maelezo yake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, Mbowe amedai kuwa anaiheshimu mahakama sana na anatambua kama kiongozi na kama raia nafasi ya Mahakama katika kusimamia haki kwenye taifa.

Amesema, ni ukweli usiopingika kuwa yeye na washtakiwa wenzake ni viongozi na wana majukumu mengi ya kiungozi ya kutendaji ndani na nje ya nchi.

Mbowe ameeleza kuwa Oktoba 28, alisafiri kwenda Washington DC kwenye mkutano wa Oktoba 30, mwaka huu na kwamba kwa ratiba yake alistahili kuondoka huko Oktoba 30, usiku na kurejea Dar es Salaam Oktoba 31 kwa ajili ya kuendelea na Kesi Novemba Mosi, mwaka huu lakini bahati mbaya kabla hajaanza safari hiyo alipata matatizo ya ugonjwa ambapo kwa mazingira aliyokuwepo haikumruhusu kusafiri safari ndefu ya ndege kwa ushauri wa kitabibu na miiko ya kinachomsumbua.

Ameongeza, katika jitihada za kujaribu kupata Matibabu nchini Marekani zilikwamishwa na bima yake ya Matibabu ya kimataifa kwa sababu nilikuwa ikimruhusu kutibiwa katika nchi ambazo siyo Marekani wala ulaya bali inaruhusu atibiwe kati nchi za Afrika mashariki, Afrika Kusini na Dubai.

Amedai kufuatia hivyo, ilimlazimu kutafuta miadi kwenda kwenye Matibabu katika nchi za Emirate na kwamba hiyo ni kutokana na ushauri aliopewa mbali na bima, kutokana na utofauti wa Masaa kati ya matano iwapo atatoka alipo kwenda Dubai kwamatibabu na ni zaidi ya 24 iwapo angekuwa nchini.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>


Hivyo makala HATMA YA DHAMANA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA TARIME KUJULIKANA NOVEMBA 23,2018

yaani makala yote HATMA YA DHAMANA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA TARIME KUJULIKANA NOVEMBA 23,2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HATMA YA DHAMANA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA TARIME KUJULIKANA NOVEMBA 23,2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/hatma-ya-dhamana-mwenyekiti-wa-chadema.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HATMA YA DHAMANA MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA TARIME KUJULIKANA NOVEMBA 23,2018"

Post a Comment

Loading...