Loading...

USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA BUTIAMA MKOANI MARA

Loading...
USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA BUTIAMA MKOANI MARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA BUTIAMA MKOANI MARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA BUTIAMA MKOANI MARA
link : USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA BUTIAMA MKOANI MARA

soma pia


USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA BUTIAMA MKOANI MARA

Wananchi katika Wilaya ya Butiama mkoani Mara wameendelea kujitokeza kwa mamia kusajiliwa Vitambulisho vya Taifa pamoja na changamoto ya umeme iliyopo kwa sasa katika kijiji cha Rwamkoma ambacho kwa sasa kinaendelea na hatua za Usajili.

Aidha wamepongeza Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa kwa kuwajali na kuwasogezea huduma kwenye maeneo wanakoishi.Akizungumzia mwenendo wa zoezi hilo Afisa Mtendaji wa kijiji hicho Bw. Musa Luseke, amesema kuwa zoezi linakwenda vizuri na wananchi katika kijiji hicho kuendelea kujitokeza kwa wingi kusajiliwa na kutambulika. 

Kwa upande wake Afisa Usajili wa wilaya hiyo Bw. Paul Meela amesema kuwa zoezi la usajili kwa wilaya yake linatazamiwa kumalizika ifikapo katikati ya mwezi huu; na kuwataka wananchi katika Kata zote ambao bado kusajiliwa kujitokeza kwa wingi ili kumaliza zoezi kwa wakati.

Amewataka wananchi katika Kata ambazo Usajili umemamalizi kujitokeka kwa wingi kwenye zoezi la uhakiki wa taarifa na mapingamizi kwa wale ambao siyo Raia ili zoezi la kuandaa vitambulisho liweze kwenda kasi ili kuruhusu kuanza kwa matumizi ya Vitambulisho.
Baadhi ya wanakijiji wa kijiji cha Rwamkoma wakiwa katika kituo cha uandikishaji Vitambuisho vya Taifa wakishubiri kukamilisha zoezi la usajili.
Bw. Ezekiel Midamo (mwenye koti jeupe) mzazi wa Bw. Jared Ezekiel (anayejaza fomu) wakazi wa kijiji cha Rwamkoma, akimuelekeza kijana wake namna ya kujaza fomu wakati wa zoezi la usajili Vitambulisho vya Taifa katika Kata ya Butiama wilayani Butiama.
Baadhi ya akinamama wakazi wa kijiji cha Rwamkoma wakielekezana namna ya ujazaji wa fomu wakati wa zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa.
Bi. Dotto Wambura mkazi wa kijiji cha Rwamkoma akiwa katika hatua za kukamilisha zoezi la usajili kwa kuweka saini yake ya kielekroniki wakati wa zoezi la usajili wa Vitambulisho vya Taifa.
Afisa Usajili wilayani Butiama Bw. Paul Meena (katikati) akielekezana jambo na wasimamizi wa kituo cha kijiji cha Rwamkoma katika Kata ya Butiama. Kushoto ni Mwenyekiti wa kijiji cha Rwankoma na kulia ni Afisa Mtendani wa kijiji cha Rwamkoma Bw. Musa Luseke.


Hivyo makala USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA BUTIAMA MKOANI MARA

yaani makala yote USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA BUTIAMA MKOANI MARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA BUTIAMA MKOANI MARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/usajili-wa-vitambulisho-vya-taifa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA BUTIAMA MKOANI MARA"

Post a Comment

Loading...