Loading...
title : SCORPION KUNYESHEWA MVUA SABA GEREZANI
link : SCORPION KUNYESHEWA MVUA SABA GEREZANI
SCORPION KUNYESHEWA MVUA SABA GEREZANI
Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Salum Njwete ‘Scorpion‘ miaka 7 jela kwa kosa la kumjeruhi na kumtoboa macho Said Mrisho, pia mahakama imemtaka kulipa faini ya TSH. Milioni 30 kwa ajili ya fidia kwa majeruhi huyo.Mlalamikaji amelia akidai adhabu hiyo haitoshi. Amesema atakwenda kwa Rais Magufuli kumueleza masikitiko yake
Hivyo makala SCORPION KUNYESHEWA MVUA SABA GEREZANI
yaani makala yote SCORPION KUNYESHEWA MVUA SABA GEREZANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SCORPION KUNYESHEWA MVUA SABA GEREZANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/scorpion-kunyeshewa-mvua-saba-gerezani.html
0 Response to "SCORPION KUNYESHEWA MVUA SABA GEREZANI"
Post a Comment