Loading...

UVCCM: Tunaridhika na utendaji wa SMZ chini ya Rais Dk Shein

Loading...
UVCCM: Tunaridhika na utendaji wa SMZ chini ya Rais Dk Shein - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UVCCM: Tunaridhika na utendaji wa SMZ chini ya Rais Dk Shein, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UVCCM: Tunaridhika na utendaji wa SMZ chini ya Rais Dk Shein
link : UVCCM: Tunaridhika na utendaji wa SMZ chini ya Rais Dk Shein

soma pia


UVCCM: Tunaridhika na utendaji wa SMZ chini ya Rais Dk Shein

IMG-20180116-WA0419.jpgIMG-20180116-WA0417.jpg


Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ulioongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Kheri D. James akiambatana na Makamu Mwenyekiti UVCCM Ndugu Tabia M. Mwita pamoja na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Ndugu Shaka H. Shaka wamekutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein leo Jumanne Januari 16, 2018 Ikulu mjini Zanzibar.

Kheri James alionyesha hisia na furaha za UVCCM kwa namna ambavyo Dk. Ali Mohamed Shein anavyoendelea kujali, kuthamini, kutekeleza ilani ya uchaguzi kwa kuyapatia ufumbuzi matatizo ya Wananchi.

"Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini Rais Dk Ali Mohamed Shein imeendelea kujali, kuthamini na kushughulikia shida , kero na matatizo ya wananchi hatimaye kuyapatia ufumbuzi stahili . UVCCM tumeridhishwa mno na kasi ya utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015/2020" alisema Kheri. 

Kheri aliwaasa Vijana kuwa na desturi ya kwenda kuchota busara na hekima toka kwa Wazee wetu ili kuweza kukomaa kisiasa.

"Vijana mnapokwenda kwa Wazee kiuhalisia mnakwenda kuchota busara na hekima. Vijana bila ya msukumo wa fikara na mawazo ya wazee , hatuwezi kujifunza jambo lolote na kukomaa kisiasa .UVCCM Tumeridhika na utendaji wa SMZ katika mkakati wa kuzitazama shida na maisha ya Wananchi." alisema Kheri. 


Hivyo makala UVCCM: Tunaridhika na utendaji wa SMZ chini ya Rais Dk Shein

yaani makala yote UVCCM: Tunaridhika na utendaji wa SMZ chini ya Rais Dk Shein Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UVCCM: Tunaridhika na utendaji wa SMZ chini ya Rais Dk Shein mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/uvccm-tunaridhika-na-utendaji-wa-smz.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UVCCM: Tunaridhika na utendaji wa SMZ chini ya Rais Dk Shein"

Post a Comment

Loading...