Loading...

VIGOGO WIZARA MALIASILI, UTALII KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSABABISHA HASARA DOLA 32,599

Loading...
VIGOGO WIZARA MALIASILI, UTALII KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSABABISHA HASARA DOLA 32,599 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIGOGO WIZARA MALIASILI, UTALII KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSABABISHA HASARA DOLA 32,599, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIGOGO WIZARA MALIASILI, UTALII KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSABABISHA HASARA DOLA 32,599
link : VIGOGO WIZARA MALIASILI, UTALII KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSABABISHA HASARA DOLA 32,599

soma pia


VIGOGO WIZARA MALIASILI, UTALII KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSABABISHA HASARA DOLA 32,599

Na Karama Kenyunko, Glogu ya jamii

WAFANYAKAZI watatu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka sita likiwemo la kuisababishia Serikali hasara ya dola 32,599.

Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini(Takukuru) Leonard Swai, amewataja washtakiwa hao ni, Ofisa Muhifadhi anayehusika na uwindaji wa matumizi endelevu ya wanyamapori Rajabu Hochi, Ofisa wa Muhifadhi mwenye wajibu wa kukusanya wa mapato ya uwindaji , Mohamed Madehele na Isaac Maji.

Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri imedaiwa kuwa, washtakiwa wakiwa watumishi kitengo cha Wanyamapori, walitenda makosa hayo katika makao makuu ya wizara hiyo.

Akisoma hati ya mashtaka wakili wa serikali Pendo Temu amedai,kati ya Januari 12 na Desemba 31, mwaka 2008, makao makuu ya wizara hiyo, Hochi na Madehele wakiwa watumishi wa wizara hiyo, wakiwa na wajibu wa kukusanya mapato yanayotokana na uwindaji walitumia madaraka yao vibaya kwa kuzidisha wanyama pori kwa Kampuni ya Uwindaji ya Northern Hunting Enterprises (Tanzania) kinyume cha sheria na hivyo kuiwezesha kampuni hiyo kupata faida ya USD 250 isivyo halali.

Pia Hochi na Madehele, wanadaiwa kati ya Agosti 11 na Desemba 31, mwaka 2011, makao makuu ya wizara hiyo,waliiwezesha kampuni hiyo kujipatia dola za Marekani 250 isivyo halali.Aidha, Hochi na Madehele, wanadaiwa, kati ya Septemba 5 na Desemba 31,mwaka 2010, walishindwa kukusanya faini ya dola za Marekani 15,630 kutoka katika kampuni hiyo.

Pia washtakiwa Hochi na Madehele,wanadaiwa kushindwa kukusanya faini ya dola za Marekani 250 kutoka kampuni ya uwindaji ya Hunting Enterprises (Tanzania), kinyume cha sheria.



Hivyo makala VIGOGO WIZARA MALIASILI, UTALII KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSABABISHA HASARA DOLA 32,599

yaani makala yote VIGOGO WIZARA MALIASILI, UTALII KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSABABISHA HASARA DOLA 32,599 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIGOGO WIZARA MALIASILI, UTALII KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSABABISHA HASARA DOLA 32,599 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/vigogo-wizara-maliasili-utalii-kortini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VIGOGO WIZARA MALIASILI, UTALII KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSABABISHA HASARA DOLA 32,599"

Post a Comment

Loading...