Loading...

Mahakama yapokea maelezo ya onyo ya anayedaiwa kuwa malkia watembo.

Loading...
Mahakama yapokea maelezo ya onyo ya anayedaiwa kuwa malkia watembo. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mahakama yapokea maelezo ya onyo ya anayedaiwa kuwa malkia watembo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mahakama yapokea maelezo ya onyo ya anayedaiwa kuwa malkia watembo.
link : Mahakama yapokea maelezo ya onyo ya anayedaiwa kuwa malkia watembo.

soma pia


Mahakama yapokea maelezo ya onyo ya anayedaiwa kuwa malkia watembo.

Na Karama Kenyunko blogu ya jamii.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepokea maelezo ya onyo ya mshtakiwa Yang Feng Glan anayedaiwakuwa malikia wa tembo, ambayo yatatumika kama moja ya kielelezo katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Glan ambaye ni raia wa China na watanzania wawili.

Maelezo hayo yamepokelewa na hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shahidi anayesikiliza kesi hio.Kabla ya kupokelewa,askari Polisi wa kikosi kazi cha taifa cha kupambana na ujangili, E.1180 Koplo Emmanuel alieleza kuwa alitumia masaa mawili kuchukua maelezo ya onyo ya mshtakiwa katika Kituo cha Polisi cha Osterbay.

Koplo Emmanuel alidai hayoleo alipokuwa akiongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu,Faraja Nchimbi kutoa ushahidi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi.

Amedai,Septemba 27,2015 majira ya usiku alipigiwa simu na kaimu DCI akimtaka afike Polisi Osterbay ambapo alipofika hapo alimkuta mshtakiwa Yang Feng akituhumiwa kwa kujihusisha na tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo na kutakiwa amfanyie mahojiano.

Alidai katika mahojiano mshtakiwa alijitambulisha kwa jina la Yang, akamuuliza kama anatambua kosa lake na kwamba,Yang alimueleza kuwa anatuhumiwa na kujihusisha na nyara za Serikali ambazo ni meno ya tembo.



Hivyo makala Mahakama yapokea maelezo ya onyo ya anayedaiwa kuwa malkia watembo.

yaani makala yote Mahakama yapokea maelezo ya onyo ya anayedaiwa kuwa malkia watembo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mahakama yapokea maelezo ya onyo ya anayedaiwa kuwa malkia watembo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/11/mahakama-yapokea-maelezo-ya-onyo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mahakama yapokea maelezo ya onyo ya anayedaiwa kuwa malkia watembo."

Post a Comment

Loading...