Loading...
title : Wataalamu Ujenzi,Uchukuzi SMT na SMZ wakutana kuboresha sekta hiyo
link : Wataalamu Ujenzi,Uchukuzi SMT na SMZ wakutana kuboresha sekta hiyo
Wataalamu Ujenzi,Uchukuzi SMT na SMZ wakutana kuboresha sekta hiyo
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Bi. Elizabeth Tagora akifungua rasmi kikao cha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Usafirishaji Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Bw. Khatib Mohamed akifafanua jambo katika kikao cha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Msaidizi wa Barabara Kuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Light Chobya akielezea majukumu ya idara hiyo katika kikao cha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia mjadala kuhusu uboreshaji wa sekta hiyo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Msajili wa Bodi ya Wahandisi Tanzania (ERB), Eng. Patrick Barozi akiwasilisha mada kuhusu utendaji wa Bodi hiyo katika kikao cha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa kikao cha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala Wataalamu Ujenzi,Uchukuzi SMT na SMZ wakutana kuboresha sekta hiyo
yaani makala yote Wataalamu Ujenzi,Uchukuzi SMT na SMZ wakutana kuboresha sekta hiyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wataalamu Ujenzi,Uchukuzi SMT na SMZ wakutana kuboresha sekta hiyo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/wataalamu-ujenziuchukuzi-smt-na-smz.html
0 Response to "Wataalamu Ujenzi,Uchukuzi SMT na SMZ wakutana kuboresha sekta hiyo"
Post a Comment