Loading...

MAVUNDE,NDEJEMBI WAZINDUA KAMPENI UPANDAJI MITI KONGWA

Loading...
MAVUNDE,NDEJEMBI WAZINDUA KAMPENI UPANDAJI MITI KONGWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAVUNDE,NDEJEMBI WAZINDUA KAMPENI UPANDAJI MITI KONGWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAVUNDE,NDEJEMBI WAZINDUA KAMPENI UPANDAJI MITI KONGWA
link : MAVUNDE,NDEJEMBI WAZINDUA KAMPENI UPANDAJI MITI KONGWA

soma pia


MAVUNDE,NDEJEMBI WAZINDUA KAMPENI UPANDAJI MITI KONGWA


Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Anthony Mavunde leo amezindua kampeni ya upandaji miti milioni moja katika kijiji cha Ibwagwa,Wilayani Kongwa Dodoma ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya KIJANISHA DODOMA iliyozinduliwa na Mhe. Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan.

Waziri Mavunde amewataka wananchi wa Kongwa kuhakikisha wanatunza mazingira kwa kupanda miti mingi zaidi na kuwataka kuacha tabia ya kukata miti ambayo hali inayosababisha uharibifu wa mazingira mkubwa.

Aidha Mavunde ametumia nafasi hiyo kuutaka uongozi wa Wilaya ya Kongwa kuhakikisha kwamba unasimamia utekelezaji wa sheria na kanuni mbalimbali za Mazingira ili kuinusuru wilaya hiyo na uharibifu wa Mazingira.

Akimkaribisha Mgeni Rasmi,Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Mhe. Deogratious Ndejembi amemuhakikishia Naibu Waziri Mavunde kwamba kama watahakikisha miti yote iliyopandwa inastawi ili kufikia lengo la kui-KIJANISHA DODOMA na pia ameahidi kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote watakaobainika kuharibu mazingira hasa kwa ukataji miti na uchomaji wa misitu.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Anthony Mavunde akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti milioni moja katika kijiji cha Ibwagwa,Wilayani Kongwa Dodoma
Mkuu wa wilaya ya Kongwa Deogratious Ndejembi akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti.
Mkuu wa wilaya ya Kongwa Deogratious Ndejembi akipanda mti katika uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti.

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Anthony Mavunde akiwa ameshika miche kwa ajili ya kupanda.
Miti inayopandwa katika wilaya ya Kongwa 



Hivyo makala MAVUNDE,NDEJEMBI WAZINDUA KAMPENI UPANDAJI MITI KONGWA

yaani makala yote MAVUNDE,NDEJEMBI WAZINDUA KAMPENI UPANDAJI MITI KONGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAVUNDE,NDEJEMBI WAZINDUA KAMPENI UPANDAJI MITI KONGWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/01/mavundendejembi-wazindua-kampeni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAVUNDE,NDEJEMBI WAZINDUA KAMPENI UPANDAJI MITI KONGWA"

Post a Comment

Loading...